Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Tumnunulie Stive simu wadau , NOTE 8 SAMSUNG mi na pledge laki 2 haya sasa twende kazi
 
Tangu mara ya kwanza naweka simulizi hapa nilifahamu fika ni kama vile nimejishtaki kwa kila kiumbe kutoa.maoni yake kwa namna ajisikiavyo. Na hata mara nyingine mtu asijali ama akisahau kwamba nawe ni binadamu na unapitia.matatizo vilevile kama wao.

Nilitoa tahadhari bayana kuwa simulizi hii huandikwa na kutumwa, si kwamba imerekodiwa tayari. Na pia hapa juzi nikaweka wazi ya kwamba nilipotewa na simu yangu niliyokuwa naitumia kuandikia. Hata hivyo, baada ya kupata hii simu mpya, ambayo kiuhalisia nilipewa tu na mmoja wa simulizi zangu, simu hii imekuwa ikinipa matatizo haswa.

Si tu kwamba sijaizoea, bali pia uwezo wake ni hafifu hivyo hunichukua muda sana kuandika na hata kuingia mitandaoni. Napata taabu.

Sikuwapo humu mtandaoni kwa muda, nadhani ni stara tukaangalia last seen ya mtu kabla hatujatoa hukumu. Niwatazame mkihangaika, au nifanye kusudi kwa mali yani? Kufaidika nani? Sina haja ya michezo hiyo ya kijita kujitia upumbavu.

Na sipati kirutubisho chochote kumtesa mja wa mtu. Tuulizane wajama na huo ndiyo utu.

Mbali na hapo, sitafuta kauli yangu, nitamaliza nilichokianzisha. Haijalishi.kwa kina gani cha bahari. Au.kwa ncha gani za milima.

Nashukuru maana hamjachoka.na mimi. Mungu akijaalia ntajisogeza tena kesho tuendelee. Samahani kuwakwaza ila sijadhamiria hata lepe.
Aisee,..!!!! Wasamehe bure tu
 
Baby wangu Shunie njoo huku
Baby ndio nimefika ebu humu wote tunaosoma tumchangieni tivu anunue simu wote tunaofatilia story tuseme labda kila mtu amchangie labda kwa mfano elf 10 tivu hawezi kosa simu nzuri
 
Tangu mara ya kwanza naweka simulizi hapa nilifahamu fika ni kama vile nimejishtaki kwa kila kiumbe kutoa.maoni yake kwa namna ajisikiavyo. Na hata mara nyingine mtu asijali ama akisahau kwamba nawe ni binadamu na unapitia.matatizo vilevile kama wao.

Nilitoa tahadhari bayana kuwa simulizi hii huandikwa na kutumwa, si kwamba imerekodiwa tayari. Na pia hapa juzi nikaweka wazi ya kwamba nilipotewa na simu yangu niliyokuwa naitumia kuandikia. Hata hivyo, baada ya kupata hii simu mpya, ambayo kiuhalisia nilipewa tu na mmoja wa simulizi zangu, simu hii imekuwa ikinipa matatizo haswa.

Si tu kwamba sijaizoea, bali pia uwezo wake ni hafifu hivyo hunichukua muda sana kuandika na hata kuingia mitandaoni. Napata taabu.

Sikuwapo humu mtandaoni kwa muda, nadhani ni stara tukaangalia last seen ya mtu kabla hatujatoa hukumu. Niwatazame mkihangaika, au nifanye kusudi kwa mali yani? Kufaidika nani? Sina haja ya michezo hiyo ya kijita kujitia upumbavu.

Na sipati kirutubisho chochote kumtesa mja wa mtu. Tuulizane wajama na huo ndiyo utu.

Mbali na hapo, sitafuta kauli yangu, nitamaliza nilichokianzisha. Haijalishi.kwa kina gani cha bahari. Au.kwa ncha gani za milima.

Nashukuru maana hamjachoka.na mimi. Mungu akijaalia ntajisogeza tena kesho tuendelee. Samahani kuwakwaza ila sijadhamiria hata lepe.
Nilijua tuu ukija watu waliokulaumu watajilaumi wao

Sasa kwa maneno haya si huko waliko roho zinawauma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tivu hujambo kijana??
Pole na majukum asee

Nimekuwa nikipita hapa kimya kimya nilivokakuta tuu weee moyo ukapiga paaa na nilikuwa nimemfuata mdeni wangu nikasahau kilichonipeleka
 
Kuna wengine roho zao zichakuwa nyeusi Kwa kulaumu wengine,hivyo hawajali
 
Back
Top Bottom