Hoja hii hapa wauza chipsi wote wauza matunda wote hawana ndoo za kunawa mikono hawavai barakoa wakiugua wanawaambukiza wateja wao ndiyo maana corona haiwezi kuishi Tanzania kwani CCM imeruhusu waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.Sawa umesikika mkuu.
Kuna jingine? Au bado unataka kuongeza matusi?
Tukana hadi hasira ziishe hii kisha tutajadili hoja hii mijadala ipo tu, cha muhimu afya yako yako. Usije ukajidhuru kwa msongo wa mawazo tutapoteza mtu muhimu kwa taifa.
Mkuu nchi ina Rais wa hovyo kabisa,ni katili asiyejali maisha ya watu na ndo maana aliwafukuza kikatili kazi maelfu ya watu wenye familia, halafu anajifanya mcha Mungu, kutwa mbele ya kanisa akipiga magoti kumbe ni satanic agentUswahilini mitaani masikini wengi wamefia majumbani wengine kwenye zahanati wengine wamefia njiani wakipelekwa Hosptal, ndugu zao wanaogopa kusema ni corona kwa kuogopa kwenda kuwekwa karantini, Ugonjwa upo watu wanakufa na Balozi zote wana taarifa za mitaani kote wanajua kila kitu.
Uchumi umeyumba wanataka pesa Afya za watanzania hawazijali kabsa, kumbe wangeweza kuhimiza kufanya kazi huku ukiwa unanawa mikono kuvaa barakoa kupaka vitakasa mikono na kazi zingefanyika vizuri uchumi unakua, lakini CCM ya sasa inazuia barakoa kunawa mikono ili watanzania waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu watawale mileleMkuu nchi ina Rais wa hovyo kabisa,ni katili asiyejali maisha ya watu na ndo maana aliwafukuza kikatili kazi maelfu ya watu wenye familia, halafu anajifanya mcha Mungu, kutwa mbele ya kanisa akipiga magoti kumbe ni satanic agent
Kwani afya yako binfsi ni hadi uamrishwe na CCM?CCM ndiyo imeamua corona isambae kwa kuacha kuhimiza uvaaji barakoa kunawa mikono kupaka vitakasa mikono, CCM ya sasa haipendi afya za watanzania kwa kiwango cha kutisha sana
Aisee Magufuli ni hatari sana, yaani anataka watanzania wafe kibao ili nchi ipate taharuki kisha aendelee kutawala nje ya mudaUchumi umeyumba wanataka pesa Afya za watanzania hawazijali kabsa, kumbe wangeweza kuhimiza kufanya kazi huku ukiwa unanawa mikono kuvaa barakoa kupaka vitakasa mikono na kazi zingefanyika vizuri uchumi unakua, lakini CCM ya sasa inazuia barakoa kunawa mikono ili watanzania waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu watawale milele
Wateja wa kuzipanda Ndege wana taarifa kuwa watanzania sasa hawanawi mikono hawavai barakoa wala kupaka vitakasa mikono, wateja wasipozipanda hizo Ndege zitakuja na nani?Hakuna shirika linaloogopa kuleta ndege zake kwa sababu kwao ni fursa ya biashara, halafu ndege kuwa grounded kwa muda mrefu ni hasara. Changamoto iliyopo ni kuwa nchi nyingi ambazo ndio tunategemea ndege zao zije bado hawajafungua anga zao. Kwa maana hiyo huwezi kuona ndege nyingi zikija TZ hadi pale anga za pande zote mbili ziwe zimefunguliwa.
CCM ni chama Tawala kupitia wenyeviti wake wa Serikali za mitaa walipaswa kuwa mbele kwenye kuhimiza kinga zaidi lakini sasa wameruhusu maambukizi yasambae zaidi inatisha sanaKwani afya yako binfsi ni hadi uamrishwe na CCM?
Hawa waliletwa na shirika gani la ndege, au walikodi ya kwao kuja kutalii?
Mnapofanya kampeni hizi zisizokuwa na uhalisi wa mambo, msidhani kwamba nyinyi peke yenu ndio mnaoitakia Tanzania mema, na hao wengine wanaoangalia mambo kwa uhalisia wake kuwa hawana mapenzi na nchi yao.
Kuweni wakweli, msitafute kuhadaa watu kwa mambo ambayo hayapo.
Anayepaswa kuwa mbele ni wewe binafsi na afya yako. Unataka viongozi wakuongoze kila kitu kwani wewe ni ng'ombe kuwa huelewi unachofanya?CCM ni chama Tawala kupitia wenyeviti wake wa Serikali za mitaa walipaswa kuwa mbele kwenye kuhimiza kinga zaidi lakini sasa wameruhusu maambukizi yasambae zaidi inatisha sana
Watalii ulaya kabla ya kuja Tanzania husaka taarifa kwenye Balozi zao na huko wameambia corona ipo kwa wingiLabda walikuja kwa ungo wa Chato
Mwezi wa tatu Mbona walihimiza sana kila mmoja akawa akinawa mikono kuvaa barakoa, nini kimewasibu sasa mpaka kuruhusu watu waache kuvaa barakoa? Kumbuka CCM inawambia watanzania kuwa corona imekwishaAnayepaswa kuwa mbele ni wewe binafsi na afya yako. Unataka viongozi wakuongoze kila kitu kwani wewe ni ng'ombe kuwa huelewi unachofanya?
Halafu wakumbuke kuna health insurance ,sasa nchi inajulikana ni high risk huyo mtalii yuko tayari kulipia insurance kubwa?Watalii ulaya kabla ya kuja Tanzania husaka taarifa kwenye Balozi zao na huko wameambia corona ipo kwa wingi
Sasa kwa sababu ndege zipo full ndio zije tu kwa mabavu? Si inategemea na nchi zinakotoka na zinakopita. Kwa hiyo mnaharaka ya nini?Wewe mwenyewe ni mpuuzi unawezaje kujua upuuzi? Anza kuwa na Ubongo kwanza ndipo upate akili, kumbuka CCM walisema Ndege zimejaa mpaka October? Walisema Ndege za wapi kama walijua Anga bado zimefungwa? aliyesema watalii watamimika hakujua hilo la chai?
Wewe ndugu zako wangapi wamefia hapo kwenu?CCM wanashangaza eti wametangaza corona imekwisha Tanzania wakati Balozi zote wanajua watu wanafia majumbani mwao hawaendi Hosptal, hawajui wafanyakazi wa ubalozi wengi wanaishi mitaani huwapelekea Balozi taarifa zote