Pre GE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

Pre GE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mleta mada heshimu haki za binadamu

Kwa hiyo watangazaji na waandisji wa habari hawatakiwi kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa?

Kwa hiyo Lisu alitaka ahojiwe na watangazaji ambao.ni wanachama wa Chadema tu?

Team Lisu mko duni sana vichwani
 
Huyo dada nimemshangaa sana hata mimi, mwanzo niliamini ni kukosa umakini ila kwa hii picha sasa naamini huwenda alikuwa na agenda zake.

Uzuri wa Lissu hacheleweshi anakupa za hapo kwa hapo hiyo ndio factor pekee inayomfanya aungwe mkono na watu wengi.
 
Hili jambo nimeliona na nimesema hivyo, alipewa kazi ambayo kachemka vibaya.

Lissu ni wa kwenda naye kwa utulivu wa hali ya juu, otherwise ndio kuaibika kama huyu.
Binti mkongwe kapata alichokitaka. Kadhihirishia ulimweng wote kuwa ni bumbuwazi.

Majina huumba. Mtu kaitwa kijakazi, hata fikra zake zimekaa kijakazi kijakazi.

Kwa Wazanzibari kijakazi ni mtumishi wa hali ya chini kabisa asiethaminika, humithilishwa na mtumwa.
 
Back
Top Bottom