ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 496
- 570
Naona kama haki imekuja kwako sikuhizi mbili.Lissu the Great.....appreciation ni kitu MUHIMU sana kuchanja mbuga....
Wenye upeo TUMEKUELEWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kama haki imekuja kwako sikuhizi mbili.Lissu the Great.....appreciation ni kitu MUHIMU sana kuchanja mbuga....
Wenye upeo TUMEKUELEWA
Sam Amejiinaamia Zake Kikuda Huku Akichabo Kwa Kijicho Mbwa Jinsi Mwanadada AlivyopagawaAchana na huyo chizi, huyo kicheche kachemsha hadi wenzake PJ na Sasali wanaona aibu.
Huoni kambana maswali mpaka jamaa kachanganyikiwaUmakini wake ni upi?
na nani?Kapewa kazi kwa kuvuliwa chupi
Nadhani hata wewe upo biasedYaonekana alikuja na ajenda/maswali yake alafu aaajab sana ana na majibu yake.
Yaaani anataka maswali yake na ana majibu yake🤣🤣🤣
Ila kapewa za uso.. Hakukopeshwa hata nuktaNimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
ccm wana media zao, huyu kada wao aende huko, clouds hafai kuwa pale kuhoji watu kama kina lissu, wapinzaniHivi Clouds wakiangalia hiki kipindi hawaoni aibu kuwakilishwa na kichwa maji kama huyo!? Anyways clouds ni walewale
Niko Engine room ...baada ya tarehe 21 ndo mtajuwa Chadema ni chama MAKINI...ila kama una upeo wa Kijasusi majibu yapo wazi KABISANaona kama haki imekuja kwako sikuhizi mbili.
Umakini uko wapi hapo?.Dada yuko makini sana, Viva Yunus
Binti mkongwe kapata alichokitaka. Kadhihirishia ulimweng wote kuwa ni bumbuwazi.Hili jambo nimeliona na nimesema hivyo, alipewa kazi ambayo kachemka vibaya.
Lissu ni wa kwenda naye kwa utulivu wa hali ya juu, otherwise ndio kuaibika kama huyu.