Pre GE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

Pre GE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
🤣 mihemko ni mateso na utumwa wa kindezi sana,

yaani kibaraka kaulizwa kitu cha kawaida tu sasa sijui mayowe yanatoka wapi,

dada wawatu kamueleza ukweli yeye hua hafatilii mambo yote ya kibaraka, kwani ubaya ni nini?
hata hivyo mbona mahojiano yenyewe yalikua ya kawaida na mepesi sana gentleman?🐒
Wewe ni mnufaika wa pesa za mbowe anazoiba chadema usikute wewe ndiyo ulitumwa upeleke pesa kwa huyo dada lakini mmeihia kupata Aibu na mbowe awadai pesa zake
 
Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,

Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Anakwenda kwa Lissu na kumtaka Lissu aulize maswali! Ni bora zaidi angekaa nyumbani kwake afue nepi za kitendamimba wake.
 
Lisu ndie proffessional? Anayesema Ohhh Mbowe asigombee kakaa muda nrefu madarakani

Wakati katiba ya Chadema inamruhusu Mbowe kugombea sababu katiba ya Chadema haina huo ukomo

Hapo waweza sema Lisu ni proffesinal na hilo genge la timu yake?
Hivi kwanini washabiki wa CCM ni waongo kuliko baba wa uongo shetwani!!??
Naomba kipande cha video ambacho Lissu anaonekana na kusikika akitamka kuwa Mbowe asigombee!
 
View: https://www.youtube.com/live/h9cHr7NLIBA?si=L-nYOeceS1NrpmnV
Kasoro kubwa katika interview hii ya leo katika kipindi cha hiki cha 360° Clouds TV:

1. Ni mtangazaji huyu wa kike (Kija) kutokuwa makini ktk kazi yake...

2. Ni wazi kuwa hakujiandaa kwenda kufanya mahojiano na mtu wa aina ya Tundu Lissu.

3. Hili #2 hapo juu inathibitishwa na kukosa kwake umakini kiasi cha maswali yake kuwa ya shaghala-baghala kwa sababu hasikilizi majibu yake toka kwa anayemuuliza maswali..

4. Ilifika wakati Tundu Lissu (mhojiwa) kumrejesha mtangazaji kwenye mstari na kumwambia "kuwa makini, Fuatilia logic ya maelezo yangu..."

5. Kwa maoni yangu huyu Mtangazaji (Dada Kija), hafai kuongoza kipindi cha kuhojiana na watu wenye akili na ufahamu mkubwa kama Tundu Lissu badala yake ahojiane na waimba taarabu na miziki ya mipasho huko...!!
CC: @CloudsTV

Akhsante sana kwa uchambuzi bora na makini kwa ufupi.
Kongole sana ndugu The Palm Beach kwa kuyaona na kuyaelezea kiuhalisia yale yaliyofanywa na huyo Kijakazi wa Clouds.
 
Hivi kwanini washabiki wa CCM ni waongo kuliko baba wa uongo shetwani!!??
Naomba kipande cha video ambacho Lissu anaonekana na kusikika akitamka kuwa Mbowe asigombee!
Baada ya kuzodoa humu naona baadhi yenu akili zimewarudi sasa mnaona logic ya Mbowe kugombea sawa na katiba ya Chadema isemavyo

Mpaka ifike tarehe 21 siku ya uchaguzi akili zenu zitakuwa zimekaa sawa
 
Baada ya kuzodoa humu naona baadhi yenu akili zimewarudi sasa mnaona logic ya Mbowe kugombea sawa na katiba ya Chadema isemavyo

Mpaka ifike tarehe 21 siku ya uchaguzi akili zenu zitakuwa zimekaa sawa
Weka kipande cha video kinachoonyesha na kusikika Lissu akisema Mbowe asigombee!

Usipoweka,wewe ni tapeli na muongo kama baba wa uongo alivyo
 
1737038325494.png
 
Wewe ni mnufaika wa pesa za mbowe anazoiba chadema usikute wewe ndiyo ulitumwa upeleke pesa kwa huyo dada lakini mmeihia kupata Aibu na mbowe awadai pesa zake
utumwa uliisha Tanazania kitambo sana gentleman,

wavivu wachache mliobaki ndiyo hawa mnao manga manga kwa mihemko na ghadhabu zisizo na kichwa wala miguu 🐒
 
Back
Top Bottom