The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Uchafu na ujinga kwa CCM hata kama "ni wa kawaida tu", kwenu ni poa tu..yaani kibaraka kaulizwa kitu cha kawaida tu sasa sijui mayowe yanatoka wapi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchafu na ujinga kwa CCM hata kama "ni wa kawaida tu", kwenu ni poa tu..yaani kibaraka kaulizwa kitu cha kawaida tu sasa sijui mayowe yanatoka wapi,
Wewe ni mnufaika wa pesa za mbowe anazoiba chadema usikute wewe ndiyo ulitumwa upeleke pesa kwa huyo dada lakini mmeihia kupata Aibu na mbowe awadai pesa zake🤣 mihemko ni mateso na utumwa wa kindezi sana,
yaani kibaraka kaulizwa kitu cha kawaida tu sasa sijui mayowe yanatoka wapi,
dada wawatu kamueleza ukweli yeye hua hafatilii mambo yote ya kibaraka, kwani ubaya ni nini?
hata hivyo mbona mahojiano yenyewe yalikua ya kawaida na mepesi sana gentleman?🐒
Nyumbu msio na akili mnatia hurumaMmekwama tena. Pesa za Abdalla mtazitema tu
Anakwenda kwa Lissu na kumtaka Lissu aulize maswali! Ni bora zaidi angekaa nyumbani kwake afue nepi za kitendamimba wake.Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Hivi kwanini washabiki wa CCM ni waongo kuliko baba wa uongo shetwani!!??Lisu ndie proffessional? Anayesema Ohhh Mbowe asigombee kakaa muda nrefu madarakani
Wakati katiba ya Chadema inamruhusu Mbowe kugombea sababu katiba ya Chadema haina huo ukomo
Hapo waweza sema Lisu ni proffesinal na hilo genge la timu yake?
Acha kupaniki .....vumilia tuNyumbu msio na akili mnatia huruma
Pesa alizopewa na mbowe ni pesa haramu ni pesa mbowe kazikwapua chadema laana ya wanachadema imemkamata huyo DadaHuyo dada kachemsha sana aisee na kapaniki hadi wenzie wanaona aibu yuko very unprofessionalkqbisa
View: https://www.youtube.com/live/h9cHr7NLIBA?si=L-nYOeceS1NrpmnV
Kasoro kubwa katika interview hii ya leo katika kipindi cha hiki cha 360° Clouds TV:
1. Ni mtangazaji huyu wa kike (Kija) kutokuwa makini ktk kazi yake...
2. Ni wazi kuwa hakujiandaa kwenda kufanya mahojiano na mtu wa aina ya Tundu Lissu.
3. Hili #2 hapo juu inathibitishwa na kukosa kwake umakini kiasi cha maswali yake kuwa ya shaghala-baghala kwa sababu hasikilizi majibu yake toka kwa anayemuuliza maswali..
4. Ilifika wakati Tundu Lissu (mhojiwa) kumrejesha mtangazaji kwenye mstari na kumwambia "kuwa makini, Fuatilia logic ya maelezo yangu..."
5. Kwa maoni yangu huyu Mtangazaji (Dada Kija), hafai kuongoza kipindi cha kuhojiana na watu wenye akili na ufahamu mkubwa kama Tundu Lissu badala yake ahojiane na waimba taarabu na miziki ya mipasho huko...!!
CC: @CloudsTV
Uropokaji anao Mbowe mzee wa masimango na Dalali wenje Akili mbiliLissu mporokwaji
Lissu anakuchanganya sana mpaka unaandika kilugha!Lissu mporokwaji
Baada ya kuzodoa humu naona baadhi yenu akili zimewarudi sasa mnaona logic ya Mbowe kugombea sawa na katiba ya Chadema isemavyoHivi kwanini washabiki wa CCM ni waongo kuliko baba wa uongo shetwani!!??
Naomba kipande cha video ambacho Lissu anaonekana na kusikika akitamka kuwa Mbowe asigombee!
Oyaa aisee kaibika kama ipo hivyoo huyo dada uwezo wa kujudge ni mdogo sana halafu anabishana kabisa aiseePesa alizopewa na mbowe ni pesa haramu ni pesa mbowe kazikwapua chadema laana ya wanachadema imemkamata huyo Dada
Wewe uliyoyandika yanamsaidia nini mzazi wakoHaya uloandika yanamsaidia nininmtoto wako?
Weka kipande cha video kinachoonyesha na kusikika Lissu akisema Mbowe asigombee!Baada ya kuzodoa humu naona baadhi yenu akili zimewarudi sasa mnaona logic ya Mbowe kugombea sawa na katiba ya Chadema isemavyo
Mpaka ifike tarehe 21 siku ya uchaguzi akili zenu zitakuwa zimekaa sawa
utumwa uliisha Tanazania kitambo sana gentleman,Wewe ni mnufaika wa pesa za mbowe anazoiba chadema usikute wewe ndiyo ulitumwa upeleke pesa kwa huyo dada lakini mmeihia kupata Aibu na mbowe awadai pesa zake