Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HiLi limejengwa JWTZ au maana ni kama la kagera la kuhamisha. Kwani sehemu hiyo kuna vita?Bilioni 7 zingeweza kujenga daraja la zege, la kudumu na chenchi kubaki kwa maendeleo mengine! Hilo ni daraja la muda ambalo life span yake haitazidi miaka 25 kabla kudai matengenezo!
Mradi pekee ulianzishwa na mama na kuukamilisha. CCM HOYEEE, mchengerwa HOYEEE. B .7'HOYEEE ( in makongoro voice)
Tunamshukuru mama samia kwa ujenzi wa daraja lenye thamani ya B.7 kwa kutuunganisha wananchi wake tulikuwa tunapata adha ya safari zetuSalaam wakuu,
Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu...
We unadhani yeye hana akili umuoni riz-1 snampanga hapo ulitaka kuelewa angalia body language ya Majaliwa, riz na kunenge utajua ndio utajua kunaniKwani waziri mkuu anasemaje
Ova
Tuna uongozi mbovu kuanzia juu mpaka chini hakika tutasaga meno. Kwa sehemu kubwa ya raw materials za chuma tuna import kutoka nje so sitegemei bei kuwa chini sana kuliko hivyo waziri mkuu alivyodanganywa.Mbona hata Waziri Mkuu kawapongeza tanroad kwa ubunifu huo na kwamba mavyuma hayo yameokoa mabilioni ya pesa. Hivyo tutegemee kuona madaraja mengi yakijengwa gharama hiyo ya TSh 120 million kwa kila mita moja ya urefu (7.2 billion ÷ 61 meters)...