ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,314
- 3,944
- Thread starter
- #41
umepita mle mle, na ndicho kilichonikuta mie. Nilimkuta single mother, alizaa akiwa kwao, na mie akajilengesha nikaweka kitu, kuua soo kwa ajir ya heshima yake, na mwanamke akanipanga tukaona chap chap.. kha.... ukijumuisha na hayo mengine moto wake sio mchezoNaunga mkono hoja zote ila kuna watu hili linawatesa sana kutokana na hadhi ya familia wanazotoka inawalazimu kuoa tu. Kwangu naona ni kosa kubwa mno hasa kwa wale wanaotoka familia zilizoshiba kiimani/kikanisa. Unaoa kwa sababu ya kuiepushia familia aibu.
NB: Unapooa/olewa huendi kuishi na familia uliyoiepushia aibu, unaenda kuishi na mwenzako ambae yawezekana kabisa hakuna upendo kati yenu.
Nimekumbuka, mwanaume usioe kwa kushinikizwa sana na mwanamke, muogope sana mwanamke anaeharakisha ndoa.