Angalia historia ya mahala umapotaka kuunganisha familia (kuoa)

Naunga mkono hoja zote ila kuna watu hili linawatesa sana kutokana na hadhi ya familia wanazotoka inawalazimu kuoa tu. Kwangu naona ni kosa kubwa mno hasa kwa wale wanaotoka familia zilizoshiba kiimani/kikanisa. Unaoa kwa sababu ya kuiepushia familia aibu.

NB: Unapooa/olewa huendi kuishi na familia uliyoiepushia aibu, unaenda kuishi na mwenzako ambae yawezekana kabisa hakuna upendo kati yenu.

Nimekumbuka, mwanaume usioe kwa kushinikizwa sana na mwanamke, muogope sana mwanamke anaeharakisha ndoa.
umepita mle mle, na ndicho kilichonikuta mie. Nilimkuta single mother, alizaa akiwa kwao, na mie akajilengesha nikaweka kitu, kuua soo kwa ajir ya heshima yake, na mwanamke akanipanga tukaona chap chap.. kha.... ukijumuisha na hayo mengine moto wake sio mchezo
 
Pole sana mkuu yakupasa utumie akili sana, uzuri ushajua ni nini kinaendelea kwahiyo ni rahisi kuepukana na stress.
 
Kikubwa niliokoa uhai wangu, hali ilikuwa mbaya.. ingawa naona mwanamke kanianzishia vita ingine japo tumeachana.. anadai nilipe madeni aliyokuwa anachukua sijui mavikoba kipindi tupo nae kwenye ndoa kama tulikopa wote vile.. huku talaka ipo kwenye mchakato na yeye ndio alie anzisha kutaka takalaka.. haya mambo kuna mda pasua kichwa sana
 
Kisheria ipoje hiyo?
 
Waoe tu maana hata historia iwe nzuri Kama ndoa siyo yako siyo yako tu.Afu wewe nilikuambia nijengee nyumba hata vyumba viwili ulikataa...ona sasa nilipopanga watu wamegongeana dirisha kwangu🙄
😂😂 wamegongeana dirishani, nawe ungenishtua nikukande.. inge balance vizuri kabisa.. ni kupeana mizuka tu
 
Back
Top Bottom