Angalia jinsi CCM wanavyochezea hela zetu hapa lazima deni la taifa lifike trilion 107

Nadhani kuna kitu hakiko sawa na huyu mwanamke, au hata washauri wake ni watu wenye upeo mdogo sana.

Ni kama hawa watu wanawaona waTanzania kuwa binaadam duni sana wasiokuwa na akili nzuri kichwani.
Hebu fikiria unampa mtu matakataka kama hayo yaliyojazwa kwenye huo mkoba, halafu kwa kufanya hivyo mtu huyo akupende na kufanya lolote utakalotaka akufanyie!

Lakini tuseme ukweli, hili lina tofauti gani na chumvi au shanga walizokuwa wakipewa mababu zetiu enzi zile?
Yaani waTanzania tumeporomoka haraka, toka enzi zile za Mwalimu Nyerere, tulipo amini na kujivunia utu wetu, na kuwa tayari kuwapigania hata wengine wajikomboe; hadi kufikia hatua hii ya leo Samia na wajomba zake kuja hapa na kutununua kwa kutumia takataka kama hizi?

Ni akina nani hasa wamelengwa kupewa 'package' kama hizo, na wao wanategemewa kuwasilisha nini kwa Samia? Viongozi wa Mashina na mitaa, ili wawaweke sawa watu walio kwenye maeneo yao?

Hawa viongozi wanao uwezo wa kuwaswaga watu na kuwasalimisha kwa Samia na Genge lake?

Samia Suluhu Hassan hayupo sawa kichwani, na hao washauri wake na Genge lote ni watu wasiokuwa na upeo wa kutosha wa kuwadanganya waTanzania.
Lakini Job Ndugai alitahadharisha mapema kuhusu haya mambo! Ila mwisho wa siku aliishia tu kuchambwa hadharani, na kwa sababu ya kuwa na makando kando mengi, plus uchumia tumbo; akaishia tu kuomba msamaha na pia kuachia kiti cha uspika.
 
GT
Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
View attachment 3378289
Gentleman,
hata kama deni likifika tril.200,
ilimradi wananchi wanapata maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuhcumi, kama Taifa linaloaminika duniani tutakopa zaid bila kujali mihemko na makasiriko ya wasiopenda wananchi wakiinjoy maendeleo 🐒
 
Hiv huwa tunakopa wapi wakati karibu dunia yote kiuchumi tumeipita mbali ?
 
Nadhani kuna kitu hakiko sawa na huyu mwanamke, au hata washauri wake ni watu wenye upeo mdogo sana.

Ni kama hawa watu wanawaona waTanzania kuwa binaadam duni sana wasiokuwa na akili nzuri kichwani.
Hebu fikiria unampa mtu matakataka kama hayo yaliyojazwa kwenye huo mkoba, halafu kwa kufanya hivyo mtu huyo akupende na kufanya lolote utakalotaka akufanyie!

Lakini tuseme ukweli, hili lina tofauti gani na chumvi au shanga walizokuwa wakipewa mababu zetiu enzi zile?
Yaani waTanzania tumeporomoka haraka, toka enzi zile za Mwalimu Nyerere, tulipo amini na kujivunia utu wetu, na kuwa tayari kuwapigania hata wengine wajikomboe; hadi kufikia hatua hii ya leo Samia na wajomba zake kuja hapa na kutununua kwa kutumia takataka kama hizi?

Ni akina nani hasa wamelengwa kupewa 'package' kama hizo, na wao wanategemewa kuwasilisha nini kwa Samia? Viongozi wa Mashina na mitaa, ili wawaweke sawa watu walio kwenye maeneo yao?

Hawa viongozi wanao uwezo wa kuwaswaga watu na kuwasalimisha kwa Samia na Genge lake?

Samia Suluhu Hassan hayupo sawa kichwani, na hao washauri wake na Genge lote ni watu wasiokuwa na upeo wa kutosha wa kuwadanganya waTanzania.
Kwa trend iliyopo,Tz haitokuja kupata maendeleo ya kweli,,nchi imejaa watu ambao ukisikia wanavyofanya mambo unajiuliza kama Wana ubongo ndani ya mafuvu yao au pengine mafuvu ndani ni matupu😅🚮
 
Back
Top Bottom