hizo ni hela za chama siyo za serikali.kama vile chadema wanazochota hela kwa kuendesha kampeni ya no reform no election ambayo haina matundaGT
Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
View attachment 3378289