peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Chupi na sidiria vipi?
Hii kali, nilikuwa sijuwi kuwa kuna condom za CCM, kwa kweli wabunge wetu kule Dodoma wanafaidiana sana kwa jina la CCM (Chama Cha Mafuska)GT
Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
View attachment 3378289
Pamoja na ndom
Hawezi kushindwa Refa ni wa kwaoItakuwa Aibu sana Kama Atashindwa
ZipoImekosekana ndomu tu hapo!
Kwa kosa ganiNyerere nitamlani maisha yangu yoote.
No reforms No electionGT
Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
View attachment 3378289
Acheni lawama kwa upumbavu wenu wenyewe. Ni marais wangapi wamepita? Kipi walishindwa kuleta mageuzi.Hakika mtu huyu ndiye chanzo Cha kwanza kabisa Cha umasikini na matatizo yote yanayoendelea katika nchi hii muasisi kama muasisi halafu alivyo mjanja mjanaja akaanza kuwakataa wenzie baada ya kuona maji yanazidi unga, no reforms no election 💯 ⚒️
Ubwabwa wa mamaGT
Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
View attachment 3378289
Kapu la MamaGT
Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
View attachment 3378289
Kakonda cjui anafanya diet.Alaf nibkma mtu mwenye wasi wasi sanaIla nikimuangalia afya yake huyo bibi hana maisha marefu.
Ana msongo wa mawazo mnoKakonda cjui anafanya diet.Alaf nibkma mtu mwenye wasi wasi sana
Akileta na vumbi la kongo lenye nembo na marangi yake itakua poa sana, atakua katisha sana.Pamoja na ndom
Maendeleo yapi au mkisema Maendeleo uwa mnaanisha Maendeleo ya familia zenu?Gentleman,
hata kama deni likifika tril.200,
ilimradi wananchi wanapata maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuhcumi, kama Taifa linaloaminika duniani tutakopa zaid bila kujali mihemko na makasiriko ya wasiopenda wananchi wakiinjoy maendeleo 🐒
Ni katika hali ya kuchanganyikiwa tuKwani hawa jamaa siku hizi wana manufacture consumer goods ama 🤔
Kampeni ya NRNE iliwaogopesha sana watawala. Heche alikua anatoa elimu nzuri sana kwa wananchi, walikua wanaelewa namna wanavyofanywa wapumbavu na CCM kwa kununuliwa na vitu vya kijinga hivyo, na ukishampa kura utakuja kumuona tena after 5 years. Wananchi wanahitaji elimu sana. Watawala wanajificha kwenye kichaka cha amani, wakati amani haiwezi kupatikana kama hakuna haki. Wamezoea kudanganya na kupika Data. Kikwete alisifia uchaguzi wa Kenya wa 2022 na kusema ulikua very Transparent, mawakala wa vyama vyote waliruhusiwa kuingia na smart phones, what about us? Yeye ndo anatetea hizi sheria kwa sababu anajua ndo namna pekee ya wao kuendelea madarakani. Mwisho wao u karibu sana, mabadiliko yakija hakuna anayeweza kuyazuia. History proves that.Nadhani kuna kitu hakiko sawa na huyu mwanamke, au hata washauri wake ni watu wenye upeo mdogo sana.
Ni kama hawa watu wanawaona waTanzania kuwa binaadam duni sana wasiokuwa na akili nzuri kichwani.
Hebu fikiria unampa mtu matakataka kama hayo yaliyojazwa kwenye huo mkoba, halafu kwa kufanya hivyo mtu huyo akupende na kufanya lolote utakalotaka akufanyie!
Lakini tuseme ukweli, hili lina tofauti gani na chumvi au shanga walizokuwa wakipewa mababu zetiu enzi zile?
Yaani waTanzania tumeporomoka haraka, toka enzi zile za Mwalimu Nyerere, tulipo amini na kujivunia utu wetu, na kuwa tayari kuwapigania hata wengine wajikomboe; hadi kufikia hatua hii ya leo Samia na wajomba zake kuja hapa na kutununua kwa kutumia takataka kama hizi?
Ni akina nani hasa wamelengwa kupewa 'package' kama hizo, na wao wanategemewa kuwasilisha nini kwa Samia? Viongozi wa Mashina na mitaa, ili wawaweke sawa watu walio kwenye maeneo yao?
Hawa viongozi wanao uwezo wa kuwaswaga watu na kuwasalimisha kwa Samia na Genge lake?
Samia Suluhu Hassan hayupo sawa kichwani, na hao washauri wake na Genge lote ni watu wasiokuwa na upeo wa kutosha wa kuwadanganya waTanzania.
Haya ndo unayaita maendeleo? Miaka 63 ya uhuru bado tuna watoto wanasoma kwenye shule kama hizi?Gentleman,
hata kama deni likifika tril.200,
ilimradi wananchi wanapata maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuhcumi, kama Taifa linaloaminika duniani tutakopa zaid bila kujali mihemko na makasiriko ya wasiopenda wananchi wakiinjoy maendeleo 🐒
Huyo anayeonyesha hizi bidhaa ni ''haya malimbukeni'' yanayodhani kuongea kiswahili kwa lafudhi ya kizungu ndiyo ukisasa. Utumwa wa fikra.GT
Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
View attachment 3378289