Angalia jinsi CCM wanavyochezea hela zetu hapa lazima deni la taifa lifike trilion 107

Kuna tofauti kubwa sana kati ya Matrilineal family na patirilineal family.
 
Acheni lawama kwa upumbavu wenu wenyewe. Ni marais wangapi wamepita? Kipi walishindwa kuleta mageuzi.

Nanyie raia mpo toka mwaka gani? Kama huku chamba kwa kukosa maji, leo maji unayo na unaamua kuacha kuchamba hapo lawama apewe nani?
 
Gentleman,
hata kama deni likifika tril.200,
ilimradi wananchi wanapata maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuhcumi, kama Taifa linaloaminika duniani tutakopa zaid bila kujali mihemko na makasiriko ya wasiopenda wananchi wakiinjoy maendeleo πŸ’
Maendeleo yapi au mkisema Maendeleo uwa mnaanisha Maendeleo ya familia zenu?
 
Kampeni ya NRNE iliwaogopesha sana watawala. Heche alikua anatoa elimu nzuri sana kwa wananchi, walikua wanaelewa namna wanavyofanywa wapumbavu na CCM kwa kununuliwa na vitu vya kijinga hivyo, na ukishampa kura utakuja kumuona tena after 5 years. Wananchi wanahitaji elimu sana. Watawala wanajificha kwenye kichaka cha amani, wakati amani haiwezi kupatikana kama hakuna haki. Wamezoea kudanganya na kupika Data. Kikwete alisifia uchaguzi wa Kenya wa 2022 na kusema ulikua very Transparent, mawakala wa vyama vyote waliruhusiwa kuingia na smart phones, what about us? Yeye ndo anatetea hizi sheria kwa sababu anajua ndo namna pekee ya wao kuendelea madarakani. Mwisho wao u karibu sana, mabadiliko yakija hakuna anayeweza kuyazuia. History proves that.
 
Gentleman,
hata kama deni likifika tril.200,
ilimradi wananchi wanapata maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuhcumi, kama Taifa linaloaminika duniani tutakopa zaid bila kujali mihemko na makasiriko ya wasiopenda wananchi wakiinjoy maendeleo πŸ’
Haya ndo unayaita maendeleo? Miaka 63 ya uhuru bado tuna watoto wanasoma kwenye shule kama hizi?
Your browser is not able to display this video.
 
Viti vingi hapo ni demonic. Kama ilivyo perfume ya upako ndo hapo kuna perfume ya samia. Truely demonic. Mtaroga lakini mwisho wa siku ni majuto. Yaani mpaka uchawi unatumika kwenye huu uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…