hizo ni hela za chama siyo za serikali.kama vile chadema wanazochota hela kwa kuendesha kampeni ya no reform no election ambayo haina matundaGT
Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
View attachment 3378289
Hilo halipo.upige au usipige kura yeye kashindaItakuwa Aibu sana Kama Atashindwa
Kwa mausagaji, mauaji, mautekaji, wizi, uporaji, na mauchafu mengine mengiiiii anayoyafanya afya nzuri ya kumfanya aishi maishi marefu lazima iwe mtihani kuwa nayoIla nikimuangalia afya yake huyo bibi hana maisha marefu.
Mkuu nashaur mwanasheria wako awe Learned counsel Kibatala...Kwa mausagaji, mauaji, mautekaji, wizi, uporaji, na mauchafu mengine mengiiiii anayoyafanya afya nzuri ya kumfanya aishi maishi marefu lazima iwe mtihani kuwa nayo
Condom mbona zipo SSH 2025Bado, kizmkaz pad, na condom
DyhPamoja na ndom
EhCondom mbona zipo SSH 2025View attachment 3378669
Watu wa aina ya huyo Ndugai, huwa hata siwapi muda wa kuwatetea kwa lolote, kwa maana hawana 'conviction' ya lolote mbali ya shibe yao tu!Lakini Job Ndugai alitahadharisha mapema kujusu haya mambo! Ila mwisho wa siku aliishia tu kuchambwa hadharani, na kwa sababu ya kuwa na makando kando mengi, plus uchumia tumbo; akaishia tu kuomba msamaha na pia kuachia kiti cha uspika.
Leo nimekutana na gari Prado TX old model flani hivi ina plate number SSH -2025. Ni hatari mkuu, "shamba ni la hangaya na mbuzi ni wa hangaya!GT
Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
View attachment 3378289
Huyu mama ni kama anaichukulia nchi hii kama kitoy tu cha kuchezea jinsi apendavyo yeye, bila kujali hali za wananchi wake.Kwa trend iliyopo,Tz haitokuja kupata maendeleo ya kweli,,nchi imejaa watu ambao ukisikia wanavyofanya mambo unajiuliza kama Wana ubongo ndani ya mafuvu yao au pengine mafuvu ndani ni matupu😅🚮
Kikwete ndiye tatizo sasa la waTanzania, kuliko hata Samia.Kikwete alisifia uchaguzi wa Kenya wa 2022 na kusema ulikua very Transparent, mawakala wa vyama vyote waliruhusiwa kuingia na smart phones, what about us? Yeye ndo anatetea hizi sheria kwa sababu anajua ndo namna pekee ya wao kuendelea madarakani. Mwisho wao u karibu sana, mabadiliko yakija hakuna anayeweza kuyazuia. History proves that
Fedha za umma zinapigwa kijinga snGT
Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
View attachment 3378289
Taifa linateteketea kwa kukosa maarifaGT
Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
View attachment 3378289
AiseeeHadi vumbi la Congo la Samia lipo kudadeq