Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

Shida sio kiwango cha pesa bali mustakabali .

Kistaarabu kabisa Mtu amekusalimia unajibu kwanza salamu sio kutanguliza njaa zako.
 
Masikini! Kumbe mtoto wa mama mkwe ana bahati sana?
Mapenzi yanapoteza maana, wanawake wamebaki wachache wengi wadangaji!

Sasa ukute mtu hapo yuko serious anataka mahusiano serious ndio mambo kama hayo! Poleni wanaume, kweli nimewaonea huruma sana.
 
We nae ni tahira huna tofauti na huyo demu
 
Acha ujinga kukaa kwa shemeji yako ndo unadhani hivyo vyote dada yako keshahongwa
 
Imagine unaombwa hicho kiasi kila baada ya siku 3, ina maana kwa mwezi utakuwa umetumia shilingi 300,000 kwa PussyCat mmoja.

Kama unao wawili wa dizaini hiyo ina maana utatumia shilingi 300,000 pia

Kwa mwezi utakuwa umetumia shilingi 600,000

Kwa mwaka mmoja Utatumia shilingi 7,200,000

Ambazo ni sawa na tofali za inchi tano 7,200 ambazo ukiwa na Kiwanja Town utatumia Kujenga Nyumba ya Vyumba 3 yenye Jiko, Sittingroom, Diningroom na study room n.k

Ukisema hela hiyo ununue gari, basi utapata Toyota Crown Mpya kutoka Japan baada ya Miaka miwili.

Mawazo ya Wazee πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Tatizo sio kuombwa...
TATIZO KUBWA KWA HERUFI KUBWA...
ANASALIMIA BADALA KUITIKIWA UNAOMBWA PESA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…