Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo huwaga ni story za kujifariji tunachekaga sana nikiskia eti miaka ya sabini bongo tulikua uchumi sawa na china....😀😀😀😀😀😀
Siyo jweli, hatujawahi kuwa na uchumi mmoja na China.Hapo machatu yamelala baada ya mihangaiko ya siku nzima.
Daah hawa macho madogo shikamoo.
Halafu hawa ndio tunaambiwa tulikuwa nao uchumi mmoja miaka ya sitini🤡😎
Acha Kodi hiz za kununua vitu vilivyolipiwa kodi. Chukua namba ya walipa kodi Kenya South Africa Angola nk. Ile idadi halisi wanaolipa. Wabongo wengi wanahudumiwa sio wazalishaji. Ndio maana nikasema tukifika watu milion 20 tu walipa kodi hii nchi itapaa. Kwa mfano sasa hiv kuna biashara kubwa ya bilions za hela inafanyika Online wale serikali haina habar na washikaji hawalipi hata mia. Mtu anatoa mzigo anauuza wote online. Hakuna cha lesen wala tin wala kodi ya pango. Kuna biashara ya Airbnb kubwa tu inafanyika watu wanafanya serikali wamelala. Yaan unaweza kuwa na nyumba yako ina vyumba tano na matumiz yako na vyumba viwili. Hivyo vingine unaviweka online wanakuja watu wanaishi hapo unalipwa hela yako. Serikali haijatengeneza chochote kumonita hii kitu. Na hawa jamaa hawalipi chochote. Huko kwenye kilimo ndio usiseme. So watz wenyewe hawalipi kodi lakin wanadai huduma. Na sisi ni wavivu tumelelewa kijamaa unakuta mshahara kidogo unahudumia watu wengi kwenu. So kila kitu kinaenda hivyo ndio maana wanachukua rushwa maana simu za matatizo wanzaopigiwa ni nyingi. Kibaya ni kuwa unamaliza mwaka huna hela rasmi ulizolipa wewe binafs kama kodi lakin unalaumu.Labda hizo unazoelezea ni "direct taxation" ukweli ni kuwa hakuna Mtanzania asiyelipa kodi "indirectly".
Hili ni kweli hata mimi bibi leo nakuunga mkonoSiyo jweli, hatujawahi kuwa na uchumi mmoja na China.
Aliyekwambia kakudanganya.
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡
Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Haujajibu swaliMzee nimekutolea mfano mdogo. Hii nchi watu wanaolipa kodi hawazid milion 6 kati ya watu milion 60. Na ni kodi zote. Hazilipwi. na wale wanaolipa hawalipi kikamilifu na wenyewe wanakwepa na hao wanaokusanya na wenyewe wanapiga so hii nchi maendeleo tutayaona kwa wenzetu tu. Labda mmoja mmoja uendelee. Wenzetu wanadisplin ya kulipa kodi na wanajua wao ndio wanajukum la kujiendeleza nchi yao. Niliwah kumgonda demu mmoja katika nchi za Scandinavia hela niliyompa alienda kulipia kodi. So unaona kabisa huyu akiandamana anadai alichotoa. Sasa hapa watu hawajui serikali ni mtoto yatima anaetakiwa kulishwa muda wote ili anenepe kila mtu anafikiri serikali inazalisha hela.
Ni jongoo sasa hilohayo machatu ni bullet mkuu, ya mwendo hatar ya chini kabisa itakuwa over 200km/h, kinyoka chetu kinaenda 80km/h
Hatutoi jibu unalotaka tunatoa jibu lenye uhalisia. Wabongo hawatoi kodi.Haujajibu swali
tena sio kinyoka mkuu ni kitreni cha kizamani kwenye ma movie yaleeeeee ya kizamani na spidi ya konokono, yani hapa na dodoma masaa 4 ili iweje sehemu ya lisaa limoja tu taslimu.Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡
Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
mkuu we acha tu, ndo maana linaombewa na dini na madhehebu yote ili angalau liongeze mwendo, is it practically possible? sidhanNi jongoo sasa hilo
Muelimishe huyo, hivi anavyonunua vocha si huwa anafafanuliwa kua kalipa kodi, au alitaka kodi ilipwe kwa namna gani?Labda hizo unazoelezea ni "direct taxation" ukweli ni kuwa hakuna Mtanzania asiyelipa kodi "indirectly".
Tunalipa kodi kwenye kila bidhaa tunayonunua.Mzee nimekutolea mfano mdogo. Hii nchi watu wanaolipa kodi hawazid milion 6 kati ya watu milion 60. Na ni kodi zote. Hazilipwi. na wale wanaolipa hawalipi kikamilifu na wenyewe wanakwepa na hao wanaokusanya na wenyewe wanapiga so hii nchi maendeleo tutayaona kwa wenzetu tu. Labda mmoja mmoja uendelee. Wenzetu wanadisplin ya kulipa kodi na wanajua wao ndio wanajukum la kujiendeleza nchi yao. Niliwah kumgonda demu mmoja katika nchi za Scandinavia hela niliyompa alienda kulipia kodi. So unaona kabisa huyu akiandamana anadai alichotoa. Sasa hapa watu hawajui serikali ni mtoto yatima anaetakiwa kulishwa muda wote ili anenepe kila mtu anafikiri serikali inazalisha hela.
Kama ni hivyo hao Milion 6 wanaolipa kodi live watakuwa wanalipa mara mbili nikiwepo Mimi. Maana mi container ikiwa bandarin nalipia kodi, mzigo ukifika dukan nalipia kodi kwenye kuuza na na hayo matumiz unayosema unalipia kodi napo na mimi natumia na kulipia kodi. Hapa nazungumzia direct kodi.Tunalipa kodi kwenye kila bidhaa tunayonunua.
Sasa mzee unatulaumi bure wananchi, mtu analipaje direct kodi na hana shughuli inayomuingizia kipato.Kama ni hivyo hao Milion 6 wanaolipa kodi live watakuwa wanalipa mara mbili nikiwepo Mimi. Maana mi container ikiwa bandarin nalipia kodi, mzigo ukifika dukan nalipia kodi kwenye kuuza na na hayo matumiz unayosema unalipia kodi napo na mimi natumia na kulipia kodi. Hapa nazungumzia direct kodi.
Tumebaki kushabikia Simba na Yanga na singeli na vigodoro, huku viongozi wakijinufaisha wao na familia zao,CCM wanaichelewesha sana hii nchi kimaendeleona wananchi nao wamelala usingizi wa pono hawajui haki zao na uwoga umewatawala
Nimekuorodheshea vitu vingi kule juu. Kuna biashara ya online ya bilions ya hela na watu wanapata hela lakin hawalipi kodi. Kuna watu wanalima na wanapiga hela na hawalipi kodi kuna watu wanafuga na wanapiga hela wengi hawalipi kodi. Nachosema tabia zetu watz hatupend kulipa kodi lakin tunapenda kujilinganisha na maendeleo ya wenzetu ambao raia wao by nature wanapenda kulipa kodi wenyewe bila kuambiwa. Kama tunataka kuwa kama wenzetu lazima tujishughulishe na tupende wenyewe kulipa kodi. Ukilipa Kodi kwa wingi mnaweza kuwa na uchungu kwa wingi pindi zikipigwa so that mtaandamna kudai hela yenu.Sasa mzee unatulaumi bure wananchi, mtu analipaje direct kodi na hana shughuli inayomuingizia kipato.
Si kuna ile VAT exclusive sijui ili kuepuka double taxation
Tena sio nyoka ile ile ya kwetu ni kamnyooo tuuu......yani nchi yetu ya ajabu kuna vitu wanavi praise afu havina impact kwa wananchi kabisa....hivi ile treni ni ya kutangaza kweli ??Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea[emoji1782]
Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Sasa na wewe uoni aibu a third world country kuifananishabna first world country alfu sasa hiyo first world country inawatu billion 1.3 zidi ya watu million 60..Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡
Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Hakuna jinadamu anapenda kulipa kodi isipokuwa serikali iset system itayohakikisha kila mtu analipa kodi kwa kazi anayofanya..Nimekuorodheshea vitu vingi kule juu. Kuna biashara ya online ya bilions ya hela na watu wanapata hela lakin hawalipi kodi. Kuna watu wanalima na wanapiga hela na hawalipi kodi kuna watu wanafuga na wanapiga hela wengi hawalipi kodi. Nachosema tabia zetu watz hatupend kulipa kodi lakin tunapenda kujilinganisha na maendeleo ya wenzetu ambao raia wao by nature wanapenda kulipa kodi wenyewe bila kuambiwa. Kama tunataka kuwa kama wenzetu lazima tujishughulishe na tupende wenyewe kulipa kodi. Ukilipa Kodi kwa wingi mnaweza kuwa na uchungu kwa wingi pindi zikipigwa so that mtaandamna kudai hela yenu.