Angalia uwezo wa Samsung Galaxy S22 Ultra

Pixel 3A ni midrange inayofocus kwenye camera, Samsung hawana like to like ya simu kama Pixel 3A, simu nyingi za Samsung ni premium All arounder hazi focus kwenye kitu kimoja.
bos samahan tena kati ya samsung a71 quantam 5g na vivo x80 pro 5g ipi vnzr zaid hapo???kuna jamaa anayo hiyo vivo
 
kwahiyo kwa ushauri wako bora samsung..
Inategemea unataka nini mkuu, mfano kuna mawinga kkoo maisha yao yote wanategemea Camera za simu ina make sense kununua Pixel kama hii.

Kuna mwengine mtu wa field ukaaji chaji ni muhimu hii pixel 3a haitamfaa.

So angalia matumizi yako mkuu unahitaji simu ya aina gani.
 
nimekupata mkuu.. wewe unatumia simu gani?
 
Back
Top Bottom