GE2025 Angalizo Kabla ya Shari: Masaa 48 Kabla ya Uamuzi wa Uchaguzi au Maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nakujibu jibu moja tu....
YATAFANIKIWA...this is Africa RESET.....
sbb nyakati hazizuiliki ,majira yanadai
 
Na we nakujibu hivi
Yatakuwepo, Acha kuwakariri waTZ
 
Scenario nyingine ni Kama ilivyotokea Kenya. Maandamano yanaanzshwabna Gen Z wanauwawa, Kwa hasira maandamano yanachukua sura nyingine vurugu na Bungeni kinavamiwa, linachomwa. Hatimaye zinakoma Hali kuwa vifo na uharibifu mkubwa wa mali imetokea. Cha ajabu Rais unayetegemea atajiuzuru anaendelea kudunda na nchi inarudu Kama kawaida😩😩
 
I
Wewe taarifa kuwa siku hiyo kuna maandamano umezipata wapi!
 

Hii Scenario haipo, kwakua kama kutakua na maandamano hata kidogo. Uchaguzi hauta kuepo
 

Kama watu hawatatoka kabisa au mwitikio ukawa mdogo .... ni kweli kabisa hawa CCM watajimilikisha nchi rasmi na kuanzia siku hiyo watafanya lolote na chochote kama wanavyopenda.
 
GenZ wetu wasipofanikiwa sasa nina hakika watajipanga upya kwa namna nyingine bora zaidi.

Endapo ccm itaamua kuwa na kiburi zaidi kutokana na kuwashinda waandamanaji, hilo litakuwa ni kosa kubwa....itakuwa ni sawa na kumwaga petroli kwenye moto.
Vijana watajenga chuki kubwa zaidi kwahicho chama jambo ambalo litaharakisha zaidi kuondolewa kwake uongozini.

Wazungu wana msemo wao, 'No permanent situation'.
CCM nayo haitadumu milele ni LAZIMA itaondoka, kama sio leo ni kesho.
 
Mkuu. Mifumo yote inasomana. Ndiyo maana unaweza kupiga kura kwa kutumia NIDA, Passport na leseni ya udereva. Watashindwaje kujichotea tu data na kujitangazia kwamba rais kashinda kwa asilimia 98.99% na asilimia 95 ya waliojiandikisha wamepiga kura?

Tumepoteza mabilioni kwa kampeni ambazo wala hazikuwa na ulazima maana tupige kura au tusipige wagombea wa CCM watashinda tena kwa asilimia zaidi ya 90%.
 
Na. M .M. Mwanakijiji

Kuna kitu kinaitwa "best case scenario na worst case scenario". Kutegemea unayemuuliza kuelekea keshokutwa mitazamo inaweza kutofautiana.
Yes, kauli huumba, hivyo tuumbe only the best case scenario
Kwa uapnde wa serikali best case scenario ni kuwa uchaguzi utafanyika kwa amani, hakuna maandamano na Rais Samia atachaguliwa na nchi itaendelea kwenye utulivu kuelekea kuapishwa kwake na kuandika historia.
Hiki ndicho kinachokwenda kutokea.
Watanzania tunawajua Thread 'Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?' Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?
There you are
Tuliposema kwa Katiba hii, CCM itatawala milele, we mean it. Thread 'Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.' Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Baya zaidi ni kuwa kutokufanikiwa kwa maandamano kutaleta kisasi ambacho hatujawahi kukiona isipokuwa kama Rais Samia mwenyewe ataamua kusamehe. Hili historia inasubiria
JPM atakuwa ni alikuwa mtakatifu
Vyovyote vile ilivyo masaa 48 yajayo yataamua mbele ya dunia Tanzania inaenda wapi na kwa vipi kuanzia tarehe 30 Oktoba. Kama walivyosema wahenga..tutaamua kusuka au kunyoa. Ila kuamua tutaamua tu..na kama hatutaamua nako ni kuamua kutokuamua.
Naunga mkono hoja
P
 
Best case scenerio ni ma ccm kuuwawa kuanzia juu mpaka chini, ni kizazi hatari kuliko carnivorus dinosors.
 
Maandamano Tanzania hayawezi kufanikiwa sasa hivi kwa sababu wanaijioambanua kama wahamasishaji wakubwa wa maandamano wako nje ya nchi. Hebu nipeni ushuhuda wa nchi iliyofanikisha maandamano kutokea nje ya nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…