BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Yaani kuendelea kuamini hawa vyombo vya ulinzi ni kupoteza mudaHao JW usiwahamini hata kidogo wana ulimi mbili hao
UsiwaaminiYaani kuendelea kuamini hawa vyombo vya ulinzi ni kupoteza muda
Hilo mbona liko wazi!?Watu wajiandae kuvunwa haswa maandamano yakishindikana
Maandamano Tanzania hayawezi kufanikiwa sasa hivi kwa sababu wanaijioambanua kama wahamasishaji wakubwa wa maandamano wako nje ya nchi. Hebu nipeni ushuhuda wa nchi iliyofanikisha maandamano kutokea nje ya nchi!
Hali Ingekua rahisi na nyepesi hivyo hii taharuki tunayoiona huko serikaliniKuna scenario moja tu, nayo ni kwamba maandamano hayatafanyika na kura tutapiga kwa amani japo turn out itakuwa ndogo.
Hili limekwisha, tuangalie tunavuka vipi 2030.
Vyovyote vile hata bila maandamano kutengeneza muafaka utakuwa ndio jambo gumu kuliko hata swala la uchaguzi. Binafsi naamini wenye dhamana wako mbali na hali halisi.
Kwa experience yangu ya wanasiasa wa Tanzania wataenda kwenye meza ya maridhiano.Vyovyote vile hata bila maandamano kutengeneza muafaka utakuwa ndio jambo gumu kuliko hata swala la uchaguzi. Binafsi naamini wenye dhamana wako mbali na hali halisi.
Na. M .M. Mwanakijiji
Kuna kitu kinaitwa "best case scenario na worst case scenario". Kutegemea unayemuuliza kuelekea keshokutwa mitazamo inaweza kutofautiana.
Kwa uapnde wa serikali best case scenario ni kuwa uchaguzi utafanyika kwa amani, hakuna maandamano na Rais Samia atachaguliwa na nchi itaendelea kwenye utulivu kuelekea kuapishwa kwake na kuandika historia.
Kwa upande wa worst case scenario ni kuwa siku inafika na mara maandamano yanaanza kwanza kidogo kidogo na mara makundi ya vijana katika majiji na miji mikubwa wanaanza kuzuia upigaji kura hadi uchaguzi unavurugika.
Katika hili jeshi la polisi linaingia kudhibiti waandamanaji lakini kwa zaidi ya masaa 24 hali haijatulia. Taarifa za watu kuuawa na video za mauaji hayo zinaanza kusambaa na kusababisha vurugu zaidi. Mwisho wa siku IGP na wakuu wa wengine wanalazimishwa kujiuzulu na nchi au sehemu ya nchi inawekwa kwenye hali ya hatari.
Kutangazwa kwa hali ya hatari kuna lazimisha JWTZ kuitwa kusaidia kutuliza nchi. Hii italeta jambo baya zaidi kuweza kutokea..Jeshi kuchukua nchi. This is the worst case scenario. Binafsi sioni uwezekano wa hatua hizi mbili za mwisho kufikiwa unless polisi watumie nguvu zaidi kudhibiti waandamanaji kuliko inavyohitajika na hivyo wachochee wenyewe kuiangusha serikali.
Kwa Waandamanaji, kwa kweli the best case scenario ni kufanikiwa kwa maandamano. Kwamba vijana wengi wajitokeze, waingilie upigaji kura na kusababisha uchaguzi mkuu uvurugike na kumlazimisha Rais Samia ama kukaa chini na kusikiliza malalamiko yao au wamlazimishe aamue kuachia madaraka na kukimbia nchi kama yaliyomkuta Rais wa Madagascar siku chache zilizopita.
Katika best case scenario hii, waandamanaji wanalazimisha kuachiliwa kwa Tundu Lissu, Heche, Polepole na wengine kama mojawapo ya masharti ya vijana kutulia. Katika hili mabadiliko yanakubaliwa katika muda uliowekwa ikiwemo kurudiwa kwa uchaguzi katika mazingira bora ya kisiasa na kisheria. Hivyo best case scenario kwa hawa ni kwa kifupi kufanikiwa kwa NO REFORMS NO ELECTIONS.
Kwa upande wa worst case scenario kwa waandamanaji ni kuwa pamoja na promotion yote iloyofanyika kwenye mitandao ya kijamii kufika October 29 hakuna maandamano yoyote ya maana. Wachache watakaojaribu watadhibitiwa kwa haraka na hivyo uchaguzi ukaenda kufanyika katika hali ya utulivu bila fyoko yoyote toka kwa yeyote.
Lakini baya zaidi ni kuwa endapo maandamano haya hayatafanyika au yakafanyika na kuzimwa kabla chai haijapoa ina maana harakati za mabadiliko kwa njia ya mkato hazina nafasi jwa Watanzania. Kama mtu mmoja alivyosema kama siyo sasa basi "never". Tundu Lissu na wenzake wataozea jela, na wale waliotoweka ndio watapotea milele.
Kwa maneno mengine kutokufanikiwa kwa maandamano kutaipa CCM mamlaka(mandate) kubwa na kiburi kuwa haiwezi kuondolewa kwa mbinde wala upinde. Kwamba njia ya mkato ya kuitoa CCM madarakani haijapatikana na kuwa jeshi letu bado halijaweza kuingizwa kwenye kuingilia siasa kama baadhi wanavyoombea.
Baya zaidi ni kuwa kutokufanikiwa kwa maandamano kutaleta kisasi ambacho hatujawahi kukiona isipokuwa kama Rais Samia mwenyewe ataamua kusamehe. Hili historia inasubiria.
Vyovyote vile ilivyo masaa 48 yajayo yataamua mbele ya dunia Tanzania inaenda wapi na kwa vipi kuanzia tarehe 30 Oktoba. Kama walivyosema wahenga..tutaamua kusuka au kunyoa. Ila kuamua tutaamua tu..na kama hatutaamua nako ni kuamua kutokuamua.
Nani unampa mkwara mbuzi? Kama ni maandamano unasubiri nini kuandamana? Huna lolote zaidi ya kuwa keyboard warriorTanzania ikikombolewa machawa wote nitawasaka niwape stahiki yenu. Nyie ndio mnaoleta madhila kwa watanzania. Serikali itakayoshika hatamu baada ya nchi kukombolewa nitaiomba iniachie hii kazi ya kutoa sitahiki kwa machawa wote kwa gharama zangu mwenyewe. Nitawawinda popote pale hata kama ni nje ya nchi ili mpate mnachostahili. “Watch this space.”
Mkuu tutarudi hapa tena. Mimi nakuhakikishia kuwa maandamano hayatokuwapo. Unachokiona kwenye mitandao ya Jamii (Twitter, Instagram, FB na Tiktok) hizo ni kama challenge tu za nani ana maneno makali kuhusu "maandamano". Wanarekodi ma ku post sawa na wanavyojirekodi nyimbo za wasaniiNadhani kuna x factor moja tu inaweza kufanya kauli hii isiwe kweli: Gen Z wajitoe ufahamu. Sisi Gen X na boomers yalishatushinda.
Eti watz tumewazoea maneno mengi, wht about you?Yes, kauli huumba, hivyo tuumbe only the best case scenario
Hiki ndicho kinachokwenda kutokea.
Watanzania tunawajua Thread 'Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?' Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?
There you are
Tuliposema kwa Katiba hii, CCM itatawala milele, we mean it. Thread 'Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.' Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
JPM atakuwa ni alikuwa mtakatifu
Naunga mkono hoja
P
Kuna wanaoogopa kukutana na maandamano so wanaona bora wabaki majumbani mwao wasije kuwa wahanga wa nguvu za Polisi.Kwanini unafikiri turn out inakuwa ndogo?
Wewe ni retired journalist na unasema ni lawyer; angalia ulichoandika - kitu kisichochujwa - Mwanakijiji kaonyesha kila kitu - very balanced- concepts- perspective- kutofautisha na garbage - metaphors.Yes, kauli huumba, hivyo tuumbe only the best case scenario
Hiki ndicho kinachokwenda kutokea.
Watanzania tunawajua Thread 'Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?' Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?
There you are
Tuliposema kwa Katiba hii, CCM itatawala milele, we mean it. Thread 'Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.' Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
JPM atakuwa ni alikuwa mtakatifu
Naunga mkono hoja
P
Hizo ndiyo kazi za vyombo vya dola, hawacheki na nyani.Hali Ingekua rahisi na nyepesi hivyo hii taharuki tunayoiona huko serikalini
. Ununuzi wa magai IMARA ya polisi
. Mazoezi chotara ya majehi yetu
. Kauli za vitisho na wasiwasi
. Kauli tata kutoka taasisi tofauti serikalini. nk
Hayo yote yanaashiria jambo.
Endapo hali itapita salama kama unavyosema, basi hatuna kitengo cha Usalama wa Taifa (TISS).
Tulipofika kama Taifa, we are just cutting our losses; Na kama tuna busara na akili tuangalie tulipojikwaa turudi nyuma na tunyooshe mambo ili kama taifa tuanze kusonga mbele; Hapa tulipo hakuna magic wand kwamba utasema Abracadabra and everything will be Kosher - Humpty Dumpty sijamwangalia vizuri ila kama hajavunjika yupo mbioni kuvunjika