Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

Afe tu na niumonia ikitimiza wajibu itakua poa sana, hana faida yoyote, akaonesha unafiki wa "kanda ya ziwa" ambao ni hatari kuliko changamoto za kupumua.
Duh... , kumbe manabii wa majanga bado wapo?!, na hata mimi waliniombea nife kwa niumonia!.
Thanks God bado nipo!.
P
 
History inaweza kuandikwa Mpango akawa Mkuu wa Nchi wa kwanza ambae hajawahi kuwa kwenye Ballot paper
Mkuu Watchtower, please!, kauli huumba!.
P
 
Limeishajifia tayari, corona haikumuacha salama mwamba, kama hajafa,but "has one foot in grave*
Mkuu Juan, JUAN MANUEL, hii sio!, kuna kauli huumba!, please usituumbie majanga mengine zaidi ya hili janga la mafuriko ya Katesh!.
P
 
‘andaa nauli tuka hani Kigoma’
Mkuu MIRA01, hii sio!.
P
 
We subiri mpango afe
Mkuu EvilSpirit, majina gani haya mnajipa?! na kauli gani hizi mnatoa?!, hujui kauli huumba?, kujipa jina baya ni kujiumbia ubaya bila wewe kujijua!, hii sio!.
P
 
Kauli huumba!, hii kauli ni ya ku curse nchi yako!. Kwa vile Tanzania bado hatuna mbadala wa CCM, then kilichopo ndio hii hii CCM iliyopo tuitolee kauli njema za kujenga, positive attitude ili hizo kauli ziiumbie mema CCM nchi ifanikiwe badala ya kutoa kauli za laana!.
Angalia matumbo ya viongozi wote wa CCM, na angalia matumbo ya viongozi wa Rwanda where kuna kiongozi ambae ni intellectual…. Lkn pia check matumbo ya viongozi wa USA au Canada or other developed countries

Utaelewa what I mean
Mambo ya matumbo ni mambo ya morphology, makabila ya wafugaji wanaume wao wana lean bodies Wanawake wao wana big butt, wanaume wengi bantustan wana vitambi, Wanawake wengi
Afrika wana bulky bodies wakati wazungu ni vimbaumbau, hakuna directly relationships or correlation ya body mass index na intellect, unatuonea bure!.
Tanzania is rotten, na hakuna maisha Tanzania . I am proud niliona mbali na kukimbia , over 60 years , utasema tumepata uhuru jana .

F”””””””””K
Hongera kwa kukimbia na kulowea huko ughaibuni, tuko akina sisi, pia tulikimbia nchi lakini uzalendo ukatutuma turudi nyumbani kuisaidia nchi yetu, wife aligoma hivyo family iko ughaibuni lakini Wazalendo tupo kuisaidia nchi yetu.
Badala ya kuilaani na kuitukana nchi yako tusi la f...k. inenee mema ibarikiwe na wewe utabarikiwa!. Usiwe Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
P
 
Subiri Samia afariki 2024.Hapo ndo tutajua kama Mpango atamalizia mwaka mmoja awamu ya Saba then aendelee tena 2025 -2035
Huu ni unabii wa majanga.
P
 
Ni katika kukumbushana tuu, maana nimeona kuibuka kwa kasi manabii wa majanga。
P
 
huu ni unabii wa majanga
P
Zaburi 109

BHN

Zaburi 109
Lalamiko la mtu taabuni
(Kwa Mwimbishaji. Wimbo wa Daudi)
1Usinyamaze, ee Mungu ninayekusifu!
2Watu waovu na wadanganyifu wanishambulia,
wanasema uongo dhidi yangu.
3Wanasema maovu juu yangu,
na kunishambulia bila kisa.
4Ingawa niliwapenda, walinishtaki,
hata hivyo niliwaombea dua.
5Wananilipa uovu kwa wema wangu,
na chuki kwa mapendo yangu.
6Umweke hakimu mbaya dhidi ya adui yangu;
na mshtaki wake ampeleke mahakamani.
7Anapohukumiwa apatikane na hatia;
lalamiko lake lihesabiwe kuwa kosa jingine.
8 Siku za maisha yake ziwe chache,
mtu mwingine na achukue kazi yake!
9Watoto wake wawe yatima,
na mke wake awe mjane!
10Watoto wake watangetange na kuombaomba;
wafukuzwe katika magofu ya nyumba zao!
11Anayemdai kitu amnyanganye mali yake yote;
na wageni wanyakue mapato ya jasho lake!
12Pasiwe na mtu wa kumwonea huruma,
au Kuwatunza watoto wake yatima!
13Wazawa wake wote wafe;
jina lake lisahauliwe katika kizazi kijacho!
14Mwenyezi-Mungu aukumbuke uovu wa wazee wake,
dhambi za mama yake zisifutwe kamwe!
15Mwenyezi-Mungu azikumbuke dhambi zao daima;
lakini wao wenyewe wasahauliwe duniani.
16Mwovu huyo hakujali kabisa kuwa na huruma,
ila aliwadhulumu maskini na fukara,
kadhalika na watu wanyonge mpaka kifo.
17Yeye alipenda kulaani watu,
laana na impate yeye mwenyewe.
Hakuwatakia wengine baraka,
basi, asipate baraka yeye mwenyewe.
18Kwake kulaani ni kama kuvaa nguo,
basi, laana hizo zimloweshe kama maji,
zimwingie mifupani mwake kama mafuta.
19Laana zimfunike kama nguo,
zimzunguke daima kama ukanda.
20Mwenyezi-Mungu awalipe hayo hao watu wanaonishtaki,
naam hao wanaosema mabaya dhidi yangu.
21Lakini ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wangu,
unitendee kadiri ya hisani yako;
uniokoe, kwa sababu ya wema wa fadhili zako!
22Mimi ni maskini na fukara;
nimejeruhiwa mpaka moyoni mwangu.
23Natoweka kama kivuli cha jioni;
nimepeperushwa kama nzige.
24Magoti yangu yamenyongonyea kwa mfungo;
nimebaki mifupa na ngozi.
25 Nimekuwa dhihaka tupu kwa watu;
wanionapo hutikisa vichwa vyao kwa dharau.
26Unisaidie, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu;
uniokoe kadiri ya fadhili zako.
27Waoneshe watu kuwa ndiwe uliyetenda hayo,
wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe uliyefanya hivyo.
28Waache walaani, lakini wewe unibariki;
wanaonishambulia waaibike, nami mtumishi wako nifurahi.
29Maadui zangu na wavishwe fedheha;
wajifunike aibu yao kama blanketi.
30Nitamshukuru sana Mwenyezi-Mungu kwa sauti;
nitamsifu kati ya kundi kubwa la watu,
31kwa maana yeye humtetea maskini,
humwokoa wakati anapohukumiwa.
 
Aisee umefikia hatua ya kumtakia binadamu mwenzako kifo.? 😩
Mkuu Manya, Manyanza hii sio kauli ya unabii wa majanga,bali ni angalizo la kumsaidia mtu fulani,

Kwa vile niliwahi kutoa kauli kama hii mahali na kweli ikatokea,mtu akaitwa kweli,na kufuatia kuitwa kwa mtu huyo,karma haikukopesha,ikala kichwa, hivyo nimeifuta ile kauli ya kale kasimba kasiitwe,ila kaachiliwe!。
P
 
Paskali leo umeamkia ubavu gani, umekuja kwa style ya tofauti

By the way, ni maombi yetu dada atwaliwe mapema iwezekanavyo ili tuwe huru
Duh...!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…