Enzi hizo kwa kaburu ilikuwa balaa.... Umeiba kwenu deck na tv uende kwa kaburu eeeh utasimulia.... Kind hicho njia Maputo full balaaSehemu kama hiyo si bora nifie hapa hapa Mbagala kwa amri ya Mungu ya uzeeni Visu vya Wazulu wakaenavyo
Babu Journey (Jane) unampata mkuu.Unabishana au....? Babu sisi ndo wazee wa Deben miaka hiyo enzi za kina JONGO janga, bellwhite, mabula.... Sema kiusalama siwezi weka picha hapa ningekuwekea picha hapa huenda ungjua naongelea na nani
Mkuu sina connection hiyo. Hata Somalia ukipeleka matunda bandari ya Berbera ni deal Sana.Waitaliano wanapeleka ndizi na meli za reefer/refrigeration.Mkuu nipe konekshen ya kuuza maparachichi Qatar. Kuna mdau aliwahi niambia kilo ya maparachichi Qatar Ni sawa na Tzs 10,000.
Mkuu mimi napendaga mtu anaekuambia ukweliEnzi hizo kwa kaburu ilikuwa balaa.... Umeiba kwenu deck na tv uende kwa kaburu eeeh utasimulia.... Kind hicho njia Maputo full balaa
Sasa wewe si ndio unataka watu wazulumiwe wakijifanya kudai na risasi zinafuatia...eti SomaliaHata Somalia ukipeleka matunda bandari ya Berbera
Unaeza kuniunganisha mkuu?Wananiletea sana through International group flani hivi. Naipotezea nafasi ni nyingi sana UAE
Mkuu Somalia kwenye biashara ya Chakula hakuna dhulma.Sasa wewe ndio unataka watu wazulumiwe wakijifanya kudai na risasi zinafuatia
Lete mchongo mwingine bhana,WaSomalia labda waje tuwapeleke Lushoto, wanunue halafu watupe chajuu chetu tena mbele ya Kituo cha PolisiMkuu Somalia kwenye biashara ya Chakula hakuna dhulma.
Sikuwa kukutana nae si unajua maskani zipo nyingi sana na kila maskani zina option zao wapo wanao enda kaburu wa nataka kupanda meli... Wapo wanaokuja kaburu kuiba.... Wapo wanaokuja kaburu kutafuta kazi.... Wapo wanaokuja kaburu kuishi.... Mimi baharia chizi meli akili yangu ilikuwa meli tu na nimeenda kaburu baada ya majaribio yangu zaidi ya 30 au 50 kupanda meli hapa Tz kushindwa.... Na sio kama sijapanda meli hapa nishapanda sana tatizo meli za wakati huo zilikuwa haziendi direct ulaya lazima zikite nchi nyingine Africa watu wa naenda kupanda meli kwa kaburu bomba likifungua safar ulaya...Babu Journey (Jane) unampata mkuu.
Visu hivyo vya kizuru... Wazuru wanapenda sana ugomvi wa Visu... Na Visu vyao vina sumu ukipigiwa kama ujapalalaiz yesu mjomba akoMkuu mimi napendaga mtu anakuambia ukweli
Kuna jamaa yangu alipata Ngo moja inaajiri watu kuwapeleka Jamhuri ya Afrika ya Kati nikamwambia usiende akaenda akakutana na dhoruba sasa sijui ilikuwa ni Ambush ile amepooza kuanzia kiunoni kwenda chini
Hata mashine hapigi tena huwa tunamdanganya Mke wake kua iko siku jamaa atapona ili Mke asikimbie.
Enzi hizo kulikuwa kuna msela mmoja kaburu wa bongo wengi wanamjua wakuitwa COSBY MALIMAA au MZUNGU BABU alikuwa smart sana huyo msela yaani ukifika unaulizwa haya ndo ushafika kaburu unataka kufanya kazi au unataka kupanda meli basi kama meli jamaa atafanya kila awezavyo anakukutanisha na machizi meli hapo baba lazima usafir atakutia moyo utakula na Full mipango atafanya.... [emoji1787][emoji1787]Meli hata iwe wapi itafuatwa na watu watajipakia huyo babu kawapa masela wengi sana good time kaburu.... Sasa hiv yupo Tz kitambo umri umeenda nimeshakutana nae magomeni kagera maeneo ya friends corner maarufu sana... Huyo babu mwenyewe katembea sana na bomba hakuna nchi hajafika huyo ndio roho ya wapanda meli wengi sana wa bongo...Babu Journey (Jane) unampata mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe tusubiri mradi wa bwawa la umeme ukamilike tupeleke mtumbwi sijui boat tufanye utalii wa ndani
Enzi hizo kulikuwa kuna msela mmoja kaburu wa bongo wengi wanamjua wakuitwa COSBY MALIMAA au MZUNGU BABU alikuwa smart sana huyo msela yaani ukifika unaulizwa haya ndo ushafika kaburu unataka kufanya kazi au unataka kupanda meli basi kama meli jamaa atafanya kila awezavyo anakukutanisha na machizi meli hapo baba lazima usafir atakutia moyo utakula na Full mipango atafanya.... [emoji1787][emoji1787]Meli hata iwe wapi itafuatwa na watu watajipakia huyo babu kawapa masela wengi sana good time kaburu.... Sasa hiv yupo Tz kitambo umri umeenda nimeshakutana nae magomeni kagera maeneo ya friends corner maarufu sana... Huyo babu mwenyewe katembea sana na bomba hakuna nchi hajafika huyo ndio roho ya wapanda meli wengi sana wa bongo...
Kuna bro mmoja enzi zile sisi Yuko shule ya msingi mwaka 2000 alimaza six pale makongoEnzi hizo kwa kaburu ilikuwa balaa.... Umeiba kwenu deck na tv uende kwa kaburu eeeh utasimulia.... Kind hicho njia Maputo full balaa
Yaani hapo kwa babu sio kama alikuwa boya hapana yeye mwenyewe alikuwa msafiri kwa wale wenzangu wa meli Watakuwa wamenielewa alikuwa katembea sana na meli ikafika wakati akaamua kulizima kaburu a kila bata zake anatoto la kizuru sio poa huyu MZUNGU BABU alikuwa smart hadi wale wazuru unaowajua wewe mandava mapiga manati walikuwa wanamkubali babu... Alikuwa rafiki wa kila mtu hata pale inapotokea umepishana kiswahili na wazuru basi babu alikuwa anauwezo wa kuwaita mandava wa kizuru nakupiga nao story na kuwaelewasha kuwa wewe ni mgeni wake umekosea anaomba usamehewe na fresh kesho kitaa hakuna noma wala nini.... Dah kila ninapotaja jina la babu nakumbuka mengi sana Mazur ya babu... Wazungu wengi sana wamepita kwa babuYeye hakutaka kwenda ulaya alisaidia watu tu?
Dada kote huko kwa nini?Wewe tusubiri mradi wa bwawa la umeme ukamilike tupeleke mtumbwi sijui boat tufanye utalii wa ndani
Ndio unataka uende kudanga?Nasikia Rand inathamani kuliko hivi vishilingi vyetu
Kijana chuki zako za kisiasa ziache Jukwaa la SiasaNdio unataka uende kudanga?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani ukiongelea suala la miti misuli ya kwapa inaachia ...kuna jank nmesoma naye huko Mufindi enzi zilee...nimekutana naye last month ana eka 36😭😭🥱🥱😭😭! Kalimia mdabulo...mm siwez panda kwasasa...ntapoteza tuDada kote huko kwa nini?
Twende tukalime vitofu dabaga au hata tukavune mbao nina eka kama 20 za miti sema bei ya miti siku hizi inafanana na ya maandazi[emoji22][emoji22][emoji22]
Mbona tunaambiwa michongo kibao huko bondeni