Angalizo la Picha: Donda lisilopona kwa zaidi ya Miaka 10, Naomba msaada wa Dawa

Tu es medecin? Oû est tu travaille? Je suis content si tu answer mon quéstions.
Il est possible qu'il ait été un guérisseur local, rappelez-vous aussi que dans les problèmes, d'autres y voient une opportunité. Hormis le problème du présentateur, il est possible que la source de ce problème ait des indicateurs religieux.​
 
Il a va aux India èt bon hôpital, ils perform test au identifier la problém de la son corp.
 
Il a va aux India èt bon hôpital, ils perform test au identifier la problém de la son corp.
Partout où il allait, il ne trouvait aucun traitement, ce qui indique que le problème n’avait pas été diagnostiqué. Et s’il a pu y aller, c’est qu’il aura de bons revenus. Il est important qu’il s’ouvre, il est possible que cela soit dû aux alliances qu’il a contractées dans la recherche de la vie.
 
Shukrani sana!
Nimeona Picha na Maelezo Ya Hiyo Chronic ulcer..
mimi Nina maswali kwa Mgonjwa..

  • Vipi umewahui kufanya biopsy ya kidonda lini imewahi kufanyika? Maana Kabla hatujakupa Dawa ni muhimu kuthibitisha kama siyo Pyoderma gangrenosum, kwenye Hatua Za Mwanzoni au ni Vasculitis ulcer, au aina Nyingine ya Maambukizi Kama umewahi kupima Majibu Yalikuwaje
  • Pia Umewahi kupimwa mzunguko wa damu (arterial/venous Doppler scan)?
  • Kuna homa au usaha wowote unaotoka mara kwa mara?
  • Ulishawahi kupima magonjwa ya autoimmune kama lupus, scleroderma, au vasculitis?
HIyo sehemu ya Kidonda Inauma? Kama haiumi tunaweza kuintroduce magott RX
TUanze na Hayo maswali kwanza
Cc: Proved SeliSelina
 
🙏
 
Excuez moi, Je ne comprend pas.

J' étudie parle la français.
 
Pole Sana ndugu
 
Juice ya limao mbili changanya na kijiko 1 au 2 ya asali, weka maji ya uviguvugu hadi glass (200ml) kunywa asubuhi kabla hujala kila siku bila kikomo.
Paka asali mbichi kwa kidonda mara kwa mara
 
Wakati tunasoma kuna dogo alikuwaga na kidonda lakwanza mpaka la sita na alikuwa nacho kabla ya hapo . Kilichomponyesha kuna wajapani walikujaga church wakawa wanapima watu na kuwapa dawa baada ya muda alipona. Nje kuna dawa asee. Embu mtafute Humphrey polepole anaweza kukusaidia labda
 
Mtafute profesa wandi yuko regency hospital alimsaidia b mkubwa alikuwa na kidonda kama hicho tuliangaika hospital kibao mbaka tukaja kukutana wandi
 

Pole sana.

Hii inaweza kuwa chronic ulcer (venous leg ulcer). Ni kidonda kinachosababishwa na tatizo katika mishipa inayorudisha damu kutoka kwenye miguu (vein).

Ni muhimu ukaonana na daktari bingwa wa mishipa ya damu (vascular surgeon) na plastic surgeon.

Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…