Angalizo la Picha: Donda lisilopona kwa zaidi ya Miaka 10, Naomba msaada wa Dawa

Kuna dawa ya kienyeji unaweza tumia. Muhimu kuizingatia. Hamna gharama zaidi ya muda wako. Nitumie ujumbe
Mkuu; Tunaomba na sisi walau utupe muongozo tafadhali. Utabarikiwa.
 
Nenda kwa Dr. Abbas yupo mtaa wa Swahili na Faru - Dar es Salaam atakusaidia in shaa Allah.
 
Napenda iwe hivo ila haifai kwa kulinda biashara za hospitali
Mkuu; Mbona Hospitali wenyewe hawajawahi kuijali na kuilinda Heshima na Baraka kwako ila kila uchao wao wanajali maokoto tuu? Kwa mfano hai; Si juzi kati hapo ulimsikia yule jamaa aliyesema eti mjamzito bila hela ajifungulie nyumbani??! Jipe moyo na uwasaidie wenzako kwani hata maandiko yanadai hivyo: Mpende jirani yako.... - lakini Hospitali hawawaoni wagonjwa kama majirani bali wanawaona wagonjwa na wasumbukao na maradhi kama Wateja. Je; ww nawe unawaunga mkono kwamba tuendelee kujisajili kwao kama wateja wa kudumu?
 
Tumia ute wa cactus plant kupaka kwenye kidonda na pia tumia juisi yake
 
Upo mkoa gani.... Niambie nikuunganishe na mtu nilishuhudia katibu watu wawili walishindikana Muhimbili.
 
Tumia ute wa cactus plant kupaka kwenye kidonda na pia tumia juisi yake
Mkuu; Cactus plant zipko za ainaVarieties nyingi sana. Nyingine hutoa "ute-maziwa" na ni sumu ikigusana na ngozi yako. Hebu tuweke sawa hapo ni aina ipi ya cactus: Ikiwezekana weka picha yake e.g.
 
Unga wa chuma chekundu ndio dawa ya hiyo kitu
 
h
Na wewe waamini ktk ujinga huo?
hivi unafahamu majaribu ya shetani ndio yana nguvu sana kuliko neema ya Mungu kuwakomboa wanadam.
hii inajidhihirisha pale inaposemwa watakaoona ufalme wa mbingu ni wachache.
hivyo ni vyepesi kuamini huko.

Mungu hawezi kukubali kumtesa mtu ambaye yupo sambamba naye isipokuwa kwa kusudi maalum.
 
Kwamba kidonda cha kuvuta utajiri,..,...hamna kitu kama hicho.

Kwa imani hizi albino wakae macho.
 
Kwani huyo mgonjwa ni mtu mzima(Adult)? Mbona naona ni kama ni Mzazi anayempambania mwanaye ambaye mguu wake huyo mtoto umetatizika kwa kidonda kisichopona? ref. maelezo hapo Na.#86.
Sawa, point yangu ipo kwa yule anayeamini kuwa kidonda kama hicho kinavuta utajiri.
 
Pole Sana ulivyoelezea hapo I feel that pains .

Kuna dogo alikuwa na kidonda ila najaribu kufananisha hizi kesi nashindwa kutoa ushauri mzuri anyway nitamuulizia dawa zipi alitumia

Kuna watu wawili walipona vidonda vikubwa vikubwa Ila hii ya kwako is too much ulivyosema umeenda India nimeogopa na kuumia

Anyway I pray for you upone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…