Tumia hata google unaweza kukusaidia ukamsaidia.Pole Sana ulivyoelezea hapo I feel that pains .
Kuna dogo alikuwa na kidonda ila najaribu kufananisha hizi kesi nashindwa kutoa ushauri mzuri anyway nitamuulizia dawa zipi alitumia
Kuna watu wawili walipona vidonda vikubwa vikubwa Ila hii ya kwako is too much ulivyosema umeenda India nimeogopa na kuumia
Anyway I pray for you upone
Mimi sio mtaaalamu wa magonjwa ya binadamu .Tumia hata google unaweza kukusaidia ukamsaidia.
Sasa huyo mbwa utamuelekezaje kwamba alambe tu ila asiume/asing'ate?Tiba yaake hiyo ndogo sana hapo Mbwa akilamba tu hivyo kidonda basi kinapona kwa uwezo wake.
Da we jamaatulia pesa ziongezeke, madonda ya masharti kwa waganga hayajawahi kupona.
Et moi aussi mon amiExcuez moi, Je ne comprend pas.
J' étudie parle la français.
Mwili wa binadamu mfano wake ni kama mfumo wa gari unavyofanya kazi.Mwili wa binadamu ni WA ajabu sana.
Nimechanganya mimi niliyedhani wewe siye.Mimi sio mtaaalamu wa magonjwa ya binadamu .
Nitakachofanya nitatafuta taarifa kutoka kwa watu ambao waliwahi pitia the same situation na kuona je walitumia dawa zipi.
Nadhani lengo kuu la mtoa mada ni kushare uzoefu na wataalamu pamoja na wadau tofauti .
Mwaka 2009 niliona jambo Kama la mtoa mada Ila alipona muhusika na mwaka jana kuna dogo muuza mayai alipitia the same situation Ila alipona so tunaendelea kujifunza
[emoji34]Kwa miaka yote hiyo,huenda wangekuwa wamesha kushauri kufanya Amputation! Ndiyo final solution.
OK nadhani usingizi pole SanaNimechanganya mimi niliyedhani wewe siye.
[emoji34]Nenda kanisa la TB Joshua! AU ANGALIA EMMANUEL TV with faith unapona!
Siyo kwamba kila mtu anaishi Mbagala, dunia hii kubwaOK nadhani usingizi pole Sana
Aisee sawa Mkuu nimekuelewaSiyo kwamba kila mtu anaishi Mbagala, dunia hii kubwa
shubiri unaijua?Habari zenu wana JF.
Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.
Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.
Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.
Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.
View attachment 3295772
mods muwe mna weka angalizo.
PICHA ZINATISHA
Mimi sio tabibu lakini kwa maelezo haya napata hisia kuwa chanzo cha tatizo ni cha kiroho zaidi kuliko kimwili. You need a spiritual deliverance for the wound to heal completely.NATAKA KUKUTUMIA PRIVATE VETI VYOTE ILA NASHINDWA
BIOPSY ALISHAFANYA SIO MARA MOJA, DOPPLER NAYO IMEFANYIKA PIA.
HAKUNA HOMA, WALA USAHA , NI MAJI TUU HUWA KINATOA
MGUU ULIANZA KUWA MWEUSI, AKAPEWA DAWA, PAKAFANYA KIJIPU, BAADA YA KUPIMWA NDIO AKAAMBIWA ENDE MUHIMBILI KWA MARA YA KWANZA, WAKATI ANAMSUBIRI DAKTARI, NDIO PAKATUMBUKA PAKATOKA MAJI MENGI SANA, AKALAZWA MIEZI MIWILI KWA MARA YA KWANZA, AKATIBIWA AKAPONA, BAADA YA MUDA UKAREJEA UPYA, AKARUDI TENA MUHIMBILI, AKALAZWA TENA, AKATIBIWA AKAPONA, BAADA YA MUDA UKARUDI TENA NDIO AKAENDA INDIA, AKAPATA MATIBABU, AKAPONA, UKAREJEA TENA, HALI NDIO HIYO HIYO YA KUJIREJEA REJEA NDIO ALOKUWA NAYO, NDIO MPAKA AKATUMIA MITI SHAMBA.
SASA HIVI MGUU MWENGINE NDIO UMEANZA ISHARA ZILE ALIZOKUWA NAZO MWANZO KWENYE MGUU WA KWANZA, NDIO NIKAONA NILETE HAPA KWA WATAALAM WA JAMIIFORUM TUPATE KUSAIDIANA. HIVI SASA PIA YUPO MAHANGAIKO, ILA ALISHAPITIA KWA MADAKTARI WENGI, WA KWETU, WA KICHINA NA DAWA ZAO, WA KIHINDI, WA MTISHAMBA, MGUU UNAKWENDA NA KURUDI.
AHSANTENI,
SHUKRANI WA WOTE WA JF