COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,157
- 1,279
Somebody can cure You. Maana anatibu madonda nduguHabari zenu wana JF.
Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.
Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.
Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.
Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.
View attachment 3295772
Tumia hata google unaweza kukusaidia ukamsaidia.
Nipigie kwa 0713 039 875, poleHabari zenu wana JF.
Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.
Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.
Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.
Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.
View attachment 3295772
Huenda ukawa uko sahihi mkuu.Pole sana.
Hii inaweza kuwa chronic ulcer (venous leg ulcer). Ni kidonda kinachosababishwa na tatizo katika mishipa inayorudisha damu kutoka kwenye miguu (vein).
Ni muhimu ukaonana na daktari bingwa wa mishipa ya damu (vascular surgeon) na plastic surgeon.
Kila la kheri.
Naam, bado yupo na ni daktari pekee mwenye kutibu hasa vidonda vya watu wenye sukari mpaka vinapona, maana ukienda hospitali nyingine wao ni kukata viungo tu.Dr.Abbas bado yupo? Duh ni muhindi wa siku nyingi sanaa.
Dah! Ajabu kweli. Mwenye kidonda analalamika, anasumbuka hadi ameomba msaada. Halafu inakuwaje kuna mtu au watu wanasema kidonda kama hicho kinavuta Utajiri? Yani mapito magumu na makali ndo utajiri?Sawa, point yangu ipo kwa yule anayeamini kuwa kidonda kama hicho kinavuta utajiri.
Naam, bado yupo na ni daktari pekee mwenye kutibu hasa vidonda vya watu wenye sukari mpaka vinapona, maana ukienda hospitali nyingine wao ni kukata viungo tu.
DR ABBAS WA KARIAKOO KIDONDA KESHAKITIBU SANA, PANAKUWA NAFUU IKISHA KINAREJEA TENA,Naam, bado yupo na ni daktari pekee mwenye kutibu hasa vidonda vya watu wenye sukari mpaka vinapona, maana ukienda hospitali nyingine wao ni kukata viungo tu.
DR ABBAS WA KARIAKOO KIDONDA KESHAKITIBU SANA, PANAKUWA NAFUU IKISHA KINAREJEA TENA,
AHSANTE SANA
Kama utakuwa na wasaa jaribu kufuatilia mishipa yako ya damu kama inapeleka vizuri damu sehemu zako za mwili, huenda nalo hilo likawa sababu ya kufanya vidonda kuchelewa kupona, onana na tabibu akufanyie vipimo la hilo tatizo.Mzunguko Duni wa Damu (Poor Circulation)
Dalili: Mguu waweza kuwa baridi, unauma unapoinuliwa, ngozi kuwa kavu au rangi ya hudhurungi.
- Kwa mfano: matatizo ya mishipa ya damu (venous insufficiency) au arterial disease.
- Damu haifiki vizuri eneo la jeraha → huzuia kupona.
- Huchangia vidonda hasa miguu au vifundoni.
mgonjwa ni mtu mzima kwenye 70+Kwani huyo mgonjwa ni mtu mzima(Adult)? Mbona naona ni kama ni Mzazi anayempambania mwanaye ambaye mguu wake huyo mtoto umetatizika kwa kidonda kisichopona? ref. maelezo hapo Na.#86.
Kumbe inawezekana isionekane?unasukari sema imegoma kua displayed kwenye vipimo
Nimekuelewa sanaIt seems kuna ukurasa kachana kwenye hadithi ya kitabu chake
Mpeni pole sana; na tumwombee kwa Mungu ili amfanyie wepesi kupata tiba stahiki na kupona mapema.mgonjwa ni mtu mzima kwenye 70+
Pole sana ninakupa Dawa za aina 2 tumia usipo pona nitafute kwa wakati wako kitakuwa ni kidonda cha uchawi umerogwa na maaduwi zako. Dawa ya Kwanza unapo amka asubuhi unapo kojoa mkojo wako wa kwanza kinga uweke kwenye kidonda chako fanya hivyo kila siku utaweza kupona. dawa ya pili Safisha kidonda chako kw amaji ya uvuguvugu yaliyo changanywa na chumvi ya mawe kisha kikaushe kidond upakaze Asali safi ya nyuki iliyotoka katika mzinga wake hakikisha Asali iwe ni safi isiyo chakachuliwa kisha kupakaza Asali funga na bendeji kidonda chako ikae hiyo Asali kwenye kidonda chako siku 3 au siku 7 unaweka Asali nyingine. Kama ni kidonda cha kawaida utapona maradhi yako la kam ni kidondacha uchawi hutowezakupona kwa hizo dawa 2 nilizokupa utanitafuta kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.Habari zenu wana JF.
Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.
Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.
Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.
Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.
View attachment 3295772
Biashara za hospitali wewe zinakuhusu nini wale wapigaji tuNapenda iwe hivo ila haifai kwa kulinda biashara za hospitali