Angalizo la usalama: Hala Hala kabla ya Hatari, "Johh Pambalu aongezewe ulinzi!"

Angalizo la usalama: Hala Hala kabla ya Hatari, "Johh Pambalu aongezewe ulinzi!"

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine.

Kwa hotuba hii ya John Pambalu:

Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa:

"Pesa kitu gani?"

Kwamba, pesa makaratasi!

Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika bei kwake, halikuhusika?

Salama ya wasionunulika hawa, ni kwa maslahi mapana ya taifa hili.

Aongezewe ulinzi John Pambalu!
 
Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine.

Kwa hotuba hii ya John Pambalu:

View attachment 3201398

Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa:

"Pesa kitu gani?"

Kwamba, pesa makaratasi!

Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika bei kwake, halikuhusika?

Salama ya wasionunulika hawa, ni kwa maslahi mapana ya taifa hili.

Aongezewe ulinzi John Pambalu!
Mbona alipokuwa mwenyekiti wa vijanq alikuwa mkoloni wa CCM?
 
"Huwezi kutenganisha fedha na siasa" inasemekana kuwa ni ya James Carville, mshauri wa kisiasa wa Marekani.

Alitumia msemo huu kuelezea jinsi fedha zinavyohusiana na siasa, hasa katika muktadha wa kampeni za uchaguzi.
 
Katika waliotekwa,mtoe Maria

Bila shaka kama ya Slaa kukamatwa, kutekwa Kwa Maria ma CCM, mwamba na wafuasi wake mliserebuka vilivyo!

Nani asiyejua mtu mikononi mwa wateka nyara salama yake leo na hata kesho, kisaikolojikali au hata physically hubaki hati hati?

Nani aliwahi kusema alitendewa nini au hata kuwa coherently baada ya tukio?

Hivi sumu au sindano zenye madhara ya leo, kesho, mwakani au hata baada ya miaka 10 huwa wateka nyara huwa hamzitumii?

Vipi ubakaji na udhalilishwaji wa aina zote za ushetani?

Au utekaji una rules zipi za engagement?

Uongo mbaya:

"Mnatutia hasira sana ndugu!"
 
Back
Top Bottom