WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Kwa kweli CHADEMA ina hazina kubwa sana,hongera sana John Pambalu kwa maono yako makubwa.
Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine.
Kwa hotuba hii ya John Pambalu:
View attachment 3201398
Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa:
"Pesa kitu gani?"
Kwamba, pesa makaratasi!
Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika bei kwake, halikuhusika?
Salama ya wasionunulika hawa, ni kwa maslahi mapana ya taifa hili.
Aongezewe ulinzi John Pambalu!