SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe hayakuhusu hangaika na CCM na Zambarau yakoKapikwa na Lissu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hayakuhusu hangaika na CCM na Zambarau yakoKapikwa na Lissu?
Amuweke naniKatika waliotekwa,mtoe Maria
Huyu ni Mwalimu by profession na mkulima mkubwa hategemei tena kuajiriwa njoo Mwanza uone kazi zake.Aliambiwa aende ualimu akaona siasa za kinafiki anaziweza..
Sasa asubiri aone, siasa imeisha na ualimu ni interview...kupanga ni kuchagua
Sasa mbona mchana kutwa uko kwenye jukwaa la siasa ? Huna lolote mnafiq mkubwa wewe.Madrasa ni heshima sana ukiwiva kuliko hata siasa
Ongea vya kwako tuvisikie. UKUTE wewe ni mmoja wa wauaji.Anaongea vitu vya kitoto kitoto tu
Wakati wa msikitini naenda, usiku nakuwa msikitini madrsa. Wakati mwengine nawashawishi makafiri kama nyinyi ili muone nuru ktk uislamSasa mbona mchana kutwa uko kwenye jukwaa la siasa ? Huna lolote mnafiq mkubwa wewe.
Kafiri kama wewe unaweza kuwapata mabwege tu.Wakati wa msikitini naenda, usiku nakuwa msikitini madrsa. Wakati mwengine nawashawishi makafiri kama nyinyi ili muone nuru ktk uislam
Kafiri ni yule asiekuwa muislamKafiri kama wewe unaweza kuwapata mabwege tu.
Ndiye muasisi wa ushetani wote uliopo leo hii😂 JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
kengesana weweAliambiwa aende ualimu akaona siasa za kinafiki anaziweza..
Sasa asubiri aone, siasa imeisha na ualimu ni interview...kupanga ni kuchagua
Nilimfata mamaako sembuse JPMMfuate mavumbini.
Mpuuzi flan hv chawa wa mbowe baada ya kumpa ukweli wake akaumia akaamua kunichomaMkuu, ILE ban ulilambwa kwa ajili ya nini Aise 😋😋
Huko aliko Mwenyekiti atakuwa anajisikiajeBila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa:
😂 JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
... mwaka huu ndo muda wa mavuno ya kisiasa, yakikuacha uendelee KUBANGAIZA MITANO INGINE!Wanasiasa ni wapuuzi. Huyu huyu by June 2026 unamkuta ni mlamba asali.
Toa sababu 3 kwa nini tusikuite muongo.Kafiri ni yule asiekuwa muislam