Madrasa ni heshima sana ukiwiva kuliko hata siasaWalioivia madrasa hamjijui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madrasa ni heshima sana ukiwiva kuliko hata siasaWalioivia madrasa hamjijui?
Huko YUVIVIWAVI hakuna vichwa kama PambaluuuAnaongea vitu vya kitoto kitoto tu
Aliambiwa aende ualimu akaona siasa za kinafiki anaziweza..
Sasa asubiri aone, siasa imeisha na ualimu ni interview...kupanga ni kuchagua
Anaesabibisha maangamizi Gaza humjui au unajifanya mwehu? Wewe kama askofu wako unamsjudia kwanini na mimi nisione madrasa ni bora kuliko siaasa?Ushauri wa bure, "baki huko huko, huku hakukufai!
MK254 hebu ona hii mitu.
Wapuuzi kama nyie mnasababisha unyama wa Gaza kutamalaki. Hamjui mnataka au hamtaki nini.
Bure kabisa!
Mimi sio CCM ,niondolee hio nuksi ila kwa Maria aingii akilini hata kidogo.Bila shaka kama ya Slaa kukamatwa, kutekwa Kwa Maria ma CCM, mwamba na wafuasi wake mliserebuka vilivyo!
Nani asiyejua mtu mikononi mwa wateka nyara salama yake leo na hata kesho, kisaikolojikali au hata physically hubaki hati hati?
Nani aliwahi kusema alitendewa nini au hata kuwa coherently baada ya tukio?
Hivi sumu au sindano zenye madhara ya leo, kesho, mwakani au hata baada ya miaka 10 huwa wateka nyara huwa hamzitumii?
Vipi ubakaji na udhalilishwaji wa aina zote za ushetani?
Au utekaji una rules zipi za engagement?
Uongo mbaya:
"Mnatutia hasira sana ndugu!"
Mimi sio CCM ,niondolee hio nuksi ila kwa Maria aingii akilini hata kidogo.
Umetoa jibu la KITOTO SANAAnaongea vitu vya kitoto kitoto tu
Anaesabibisha maangamizi Gaza humjui au unajifanya mwehu? Wewe kama askofu wako unamsjudia kwanini na mimi nisione madrasa ni bora kuliko siaasa?
Wewe nae akili ndogo.Bila shaka kama ya Slaa kukamatwa, kutekwa Kwa Maria ma CCM, mwamba na wafuasi wake mliserebuka vilivyo!
Nani asiyejua mtu mikononi mwa wateka nyara salama yake leo na hata kesho, kisaikolojikali au hata physically hubaki hati hati?
Nani aliwahi kusema alitendewa nini au hata kuwa coherently baada ya tukio?
Hivi sumu au sindano zenye madhara ya leo, kesho, mwakani au hata baada ya miaka 10 huwa wateka nyara huwa hamzitumii?
Vipi ubakaji na udhalilishwaji wa aina zote za ushetani?
Au utekaji una rules zipi za engagement?
Uongo mbaya:
"Mnatutia hasira sana ndugu!"
ndio nani huyo gentleman 🐒Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine.
Kwa hotuba hii ya John Pambalu:
View attachment 3201398
Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa:
"Pesa kitu gani?"
Kwamba, pesa makaratasi!
Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika bei kwake, halikuhusika?
Salama ya wasionunulika hawa, ni kwa maslahi mapana ya taifa hili.
Aongezewe ulinzi John Pambalu!
Tulia wazalendo wanaendelea kulamba vumbi huko, hujasikia Bazecha🤣Anakukera vipi hapo Sasa, ewe mfuasi Mbowe?
Ninakazia :
Aongezewe ulinzi John Pambalu!
Tulia wazalendo wanaendelea kulamba vumbi huko, hujasikia Bazecha🤣Anakukera vipi hapo Sasa, ewe mfuasi Mbowe?
Ninakazia :
Aongezewe ulinzi John Pambalu!
ndio huyo sio gentleman, right?🐒
Ni utoto kwa mpumbavu tu.Anaongea vitu vya kitoto kitoto tu
Sultan hapendi vijana kama hawa anataka mapoyoyo yasiyo na kazi ili ayalishe na yawe machawa yake.Kweli CDM kuna vijana wamepikwa wameiva!
Viva Pambalu📌