Mbona alipokuwa mwenyekiti wa vijanq alikuwa mkoloni wa CCM?Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine.
Kwa hotuba hii ya John Pambalu:
View attachment 3201398
Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa:
"Pesa kitu gani?"
Kwamba, pesa makaratasi!
Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika bei kwake, halikuhusika?
Salama ya wasionunulika hawa, ni kwa maslahi mapana ya taifa hili.
Aongezewe ulinzi John Pambalu!
Mkuu, ILE ban ulilambwa kwa ajili ya nini Aise πππ JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Kapikwa na Lissu?Kweli CDM kuna vijana wamepikwa wameiva!
Viva Pambaluπ
Mfuate mavumbini.π JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Kijana apewe Ulinzi na Jeiwii π
Katika waliotekwa,mtoe Maria
Kijana apewe Ulinzi na Jeiwii π
Kapikwa na Lissu?
Aliambiwa aende ualimu akaona siasa za kinafiki anaziweza..