WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine.
Kwa hotuba hii ya John Pambalu:
View attachment 3201398
Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa:
"Pesa kitu gani?"
Kwamba, pesa makaratasi!
Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika bei kwake, halikuhusika?
Salama ya wasionunulika hawa, ni kwa maslahi mapana ya taifa hili.
Aongezewe ulinzi John Pambalu!

Wewe ni mpumbavu Sana yaani ualimu nayo ni kazi ya mtu kuijutia??? Walahi tuna vijana wa Hivyo Sana,,, Kuna sekondar ngapi za serikali unaweza kukuta waalimu wamekuja kazini na nje kwenye parking zimejaa RANGE,,,Aliambiwa aende ualimu akaona siasa za kinafiki anaziweza..
Sasa asubiri aone, siasa imeisha na ualimu ni interview...kupanga ni kuchagua
Matokeo ya hao Bavichaa vipi?Aliambiwa aende ualimu akaona siasa za kinafiki anaziweza..
Sasa asubiri aone, siasa imeisha na ualimu ni interview...kupanga ni kuchagua
Endelea kudanganya wajinga wenzako, ajira ya serikali ni security.Wewe ni mpumbavu Sana yaani ualimu nayo ni kazi ya mtu kuijutia??? Walahi tuna vijana wa Hivyo Sana,,, Kuna sekondar ngapi za serikali unaweza kukuta waalimu wamekuja kazini na nje kwenye parking zimejaa RANGE,,,
Kwa hiyo wote ambao hawana ajira serikalini hawana security??? Hili ni tusi Kwa wakulima na wafanyabiashara wa Nchi hii tunaolipa Kodi,, Inatakiwa uporwe cheti Cha chuo kama unacho Ili ubaki kuwa tegenezi maana inaonekana elimu haijakusaidia chochote Zaidi ya kuwa tegemezi Kwa serikali ikupe securityEndelea kudanganya wajinga wenzako, ajira ya serikali ni security.
Subiri uuguze tegemezi kama unaye halafu huna bima utaimba Yesu ni bwana.
An idiot and brainwashed mind,, utakufa maskini wewe,, Kama security Yako ni ajira ya UALIMU!!!Endelea kudanganya wajinga wenzako, ajira ya serikali ni security.
Subiri uuguze tegemezi kama unaye halafu huna bima utaimba Yesu ni bwana.
😁😁😁, pole sana mkuu,Mpuuzi flan hv chawa wa mbowe baada ya kumpa ukweli wake akaumia akaamua kunichoma
Aione Erythrocyte
Idiot ni Baba yako mzazi kwa kuzaa toto pumbavu kama wewe asiyejuwa heshima ya walimu.An idiot and brainwashed mind,, utakufa maskini wewe,, Kama security Yako ni ajira ya UALIMU!!!
Sasa wanampa pesa!!! Je sio ruswa!!!! Mbowe nae akiguswa nawewe kama walivoguswa ao nyumbu wengine sasa Mbowe akatoa milion 5 kumpa itaesabiwa nayeye kaguswa kama wengine au yeye amempa rushwa!!!!Hakika Hakika Hakika Hakika HAKIKA.....Tifa lina HAZINA...
Mungu ibariki Chadema!!!!
Kwakuwa Ww ni mtoto Huwezi yajua yawakubwaAnaongea vitu vya kitoto kitoto tu
HakikaWametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine.
Kwa hotuba hii ya John Pambalu:
View attachment 3201398
Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa:
"Pesa kitu gani?"
Kwamba, pesa makaratasi!
Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika bei kwake, halikuhusika?
Salama ya wasionunulika hawa, ni kwa maslahi mapana ya taifa hili.
Aongezewe ulinzi John Pambalu!
We unaona ualimu ni issue?Aliambiwa aende ualimu akaona siasa za kinafiki anaziweza..
Sasa asubiri aone, siasa imeisha na ualimu ni interview...kupanga ni kuchagua
Muulize aliesomeaWe unaona ualimu ni issue?
Mkuu huoni demokrasia huko imetendeka
Mkuu huoni demokrasia huko imetendeka