ANGALIZO muhimu sana kwa Uongozi wa Simba SC na Mashabiki wote wa Simba SC kutoka kwa mwenye Simba SC yangu GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama sehemu ya Kulipiza Kisasi) kuna Timu moja yenye Utoto, Roho Mbaya, Ushamba, Chuki iliyopitiliza dhidi yetu na Wivu itaamua Kututia matatizoni ili CAF watuadhibu na Kutuponza.

Kuna Timu (ili kuonyesha kuwa Simba SC) nayo italipiza Kisasi kwa Fujo iliyofanyiwa nayo itapanga Kuwanunulia Jezi za Simba SC Mashabiki wake kadhaa (Watakaowapanga) na Tiketi katika Mchezo wetu wa marudiano na hawa Waarabu wa Libya kisha watawafanyia Fujo. Dhumuni la hiyo Timu ni Kuichafua Simba SC Kimataifa na Kutuponza ili tuadhibiwe na tuchafuliwe Sifa yetu kwa Wivu wa Sisi kuwa Maarufu kuwazidi.

Hivyo basi GENTAMYCINE nauomba Uongozi wa Simba SC (hasa kupitia Msemaji wake) wahakikishe kuanzia sasa (leo) wanatoa Elimu ya kutosha kwa wana Simba SC wote kuwa Mchezo wetu huo wa marudiano kamwe na chonde chonde tusije Kulipiza Kisasi cha kuwafanyia Fujo Wachezaji wa Klabu hiyo ya Libya na badala yake Kisasi chetu pekee kiwe ni cha Kuwafunga Uwanjani ili tutinge rasmi Makundi.

Naomba hili nililoliandika hapa lichukuliwe kwa Umakini mkubwa sana kwani huwa nikisema jua nimehisi HATARI Oky?
 
Kama lile shoga la Utopolo linaloitwa Mchome Mapovu linalovaa jezi ya Simba huku likimwaga sumu mbaya kwaMnyama.
 
Msitafute visingizio fungeni hao waarabu muingie makundi kama nyie ni wanaume kweli.#Kwenu kama Kwao#.
 
Swali fikirishi je uwanjani camera hakuna? Kama zipo wajiandae kuabishwa
 
Back
Top Bottom