Angalizo: Saa ya ukombozi ni sasa or else ukombozi wa nchi yetu utaendelea kuwa ndoto kwa kipindi kirefu sana kijacho

Pulchra Animo

Platinum Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
8,620
Reaction score
15,134
Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa.

Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant traction, if at all.

Are we ready for the next round of an even more repressive regime? For even more socio-economic injustice? Buckle up, sons and daughters of this country!
 
Tunataka Democracy hatutaki Autocracy
 
Hivi mkuu umeandamana au ulikuwa key worries tu humu jf?

Mwanza jeshi limestopisha maandamano na limewaamulu kusafisha na kuondoa takataka zote barabarani.

Hii inamaana atakaye kaidi atachakazwa.

Ukumbuke sisi kama wananchi hatuna silaha na kufa tumekufa kweli asee.

Tulichokuwa tunakitegemea (jeshi) limetuangusha. Je unataka tuendeleze kudai ukombozi hadi lini na mwisho wake nini kama jeshi limekubali huu uchaguzi umpitishe licha ya kuwa hakuna kura zilipigwa ?

Nimefuta picha na video zote za kwenye maandamano nina machungu yasiyo elezeka hapa.
 
Mama atawashugulikiaa woteee mlioandamanaa.. Jwtz lipo full nyuma yakee
1000187720.jpg
 
Hivi mkuu umeandamana au ulikuwa key worries tu humu jf?

Mwanza jeshi limestopisha maandamano na limewaamulu kusafisha na kuondoa takataka zote barabarani.

Hii inamaana atakaye kaidi atachakazwa.

Ukumbuke sisi kama wananchi hatuna silaha na kufa tumekufa kweli asee.

Tulichokuwa tunakitegemea (jeshi) limetuangusha. Je unataka tuendeleze kudai ukombozi hadi lini na mwisho wake nini kama jeshi limekubali huu uchaguzi umpitishe licha ya kuwa hakuna kura zilipigwa ?

Nimefuta picha na video zote za kwenye maandamano nina machungu yasiyo elezeka hapa.
Usikate tamaa, hii vita sio rahisi na itachukua muda, na kidogo kilichofanyika wameelewa hawana nguvu kama wanavyofikiria, kuna mbinu nyingi zinakuja mpaka mabadiliko yatokee…kitaeleweka tuu
 
Huna tofauti na Sativa wewe
 
Attachments

  • 20251031_063838.jpg
    20251031_063838.jpg
    22.1 KB · Views: 40
Usikate tamaa, hii vita sio rahisi na itachukua muda, na kidogo kilichofanyika wameelewa hawana nguvu kama wanavyofikiria, kuna mbinu nyingi zinakuja mpaka mabadiliko yatokee…kitaeleweka tuu
Jeshi linazuia watu kuandamana na jeshi ndo lilikuwa tumaini kwa wananchi je nini kingine kitawapa tumaini wananchi?
 
Hivi mkuu umeandamana au ulikuwa key worries tu humu jf?

Mwanza jeshi limestopisha maandamano na limewaamulu kusafisha na kuondoa takataka zote barabarani.

Hii inamaana atakaye kaidi atachakazwa.

Ukumbuke sisi kama wananchi hatuna silaha na kufa tumekufa kweli asee.

Tulichokuwa tunakitegemea (jeshi) limetuangusha. Je unataka tuendeleze kudai ukombozi hadi lini na mwisho wake nini kama jeshi limekubali huu uchaguzi umpitishe licha ya kuwa hakuna kura zilipigwa ?

Nimefuta picha na video zote za kwenye maandamano nina machungu yasiyo elezeka hapa.
Usidhani tuna option nyepesi. Either way, the ride is going to be extremely bumpy. Speed ya kupoteza watu itaongezeka astronomically. Tufunge mkanda, any of us is next in line!

Nyati aliyejeruhiwa ni hatari kuliko yule ambaye hajajeruhiwa!
 
Jeshi linazuia watu kuandamana na jeshi ndo lilikuwa tumaini kwa wananchi je nini kingine kitawapa tumaini wananchi?
I had my doubts na JWTZ kama wanaweza kuwa sehemu ya mabadiliko, na CDF unaweza kuona kabisa kwa kauli zake ni kama anajiona mwenzao, mabadiliko ya kweli yataletwa na wananchi wenyewe, jeshi ukiona wanahusika ni askari wa chini wasiojulikana kama kina Tesha, huu ni mzigo wetu msahau hao wanajeshi makada wa CCM
 
Back
Top Bottom