DOKEZO Angalizo: Utapeli na wizi kwenye maduka ya Pharmacy/ biashara ya dawa za binadamu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama unalijuja umeenda kufanya nn mtaan
Relax
 
Nimezingatia dawa kwa kuwa suala nyeti ndugu.....lakini najua wabongo upigaji upo kwenye DNA
Dawa na vitendanishi kwenye Mafamasi makubwa bei yake ni cheap mnoo...ila huku mitaani bei iko juu. Mfano kile kipimo cha mimba,phamacy kubwa huuzwa kwa sh 100 mpka 300. Lakini mitaani huuzwa 1500 mpka 2500
 
Nimejifunza kitu....

Nikiwa na uhitaji wa dawa(Mungu aepushie mbali) nakwenda maduka makubwa tu
 
Kama ambavyo ccm hawana huruma na wauza madawa nao hivyo hivyo.
 
Kabisa Sasa hivi Kuna upandaji holela wa Dawa
Mfano Kuna Dawa moja Wanaita Erythromycin Nilikuwa nikinunua 10 kwa Tsh 1000
Ajabu Ndani ya muda mfupi Imekuwa 2000
Sasa Inapandaje Ghafla kwa ×2
Sijui nchi hii tunakwemda wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…