Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Kumbe ww pia ni tapeli ,Asante kwa kunsanuaDar kumejaa matapeli na mimi nikiwemo usimuamini mtu daslam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ww pia ni tapeli ,Asante kwa kunsanuaDar kumejaa matapeli na mimi nikiwemo usimuamini mtu daslam
Bado bado sijakomaa ila soon nakuwa hukoKumbe ww pia ni tapeli ,Asante kwa kunsanua
Mkuu usilaumu sana inawezekana angechoma hiyo sindano na angekata moto pia.Mimi kaka yangu alikufa 2001 kwa kukosekana buku 5 ya sindano ya pumu. Zahanati ya mtaani kabisa ambapo tunajulikana ila mtu na roho yake mbaya alishindwa kufanya tendo la kibinadamu na kupelekea mapafu kubana hatimaye kukata moto. Ni story ambayo haiwez futika akilini mwangu.
Mimi ilinikuta hospital kabisa dogo amepimwa amekutwa na PID nikaandikiwa dawa bei 93k sema siku na cash nkawaambia waniwekee kabisa dawa naenda ku draw ATM maana sinaga sim banking.Habari za wakati huu ndugu zanguni.
Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake.
Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa muda mrefu anayelazimika kutumia dawa fulani kwa kila wiki.
Hali hiyo ilipelekea kuwa na bajeti ya kiasi cha Elfu 20 kila wiki ili kukidhi mahitaji ya mgonjwa wangu kimatibabu kwa maelekezo ya Daktari wake.
Nilikuwa navichukua kwenye pharmacy za mitaani wakinihakikishia kuwa dawa za namna hiyo ni adimu sana na hivyo ni ghali.
Walikuwa wananiuzia kila kidonge kiasi cha Elfu mbili.
Kuna siku ikatokezea pale wakawa hawana zile dawa, nikaona anamuita kijana wa boda boda ingawa walitaka kufanya siri lakini niliibahatika kunasa maongezi yao na kujua anapomuelekeza kwenda kuchukua.
Nikasikia jina la duka kubwa la pharmacy kubwa hapa Dar es salaam ambapo mimi mwenyewe nalijua lilipo.
Nikafanya maamuzi ya kwenda kununua huko nikamwambia basi siku nyingine nikamuona akawa mbishi kidogo lakini nikakomaa.
Kufika kule( huko kwenye hilo duka kubwa maarufu) nikakuta kule vile vidonge vinauzwa 6,000/= vyote kumi nilishtuka sana kutoka 20,000/= mpaka 6,000/= lakini ndio basi tena ikawa nimeshapigwa, yule binti mpaka leo ananionea haya.
NB: Nawasihi ndugu zanguni kama una uhitaji au matumizi ya dawa fulani wa muda mrefu jitahidi walau uzungukie maduka matano makubwa kujiridhisha maana hawa ndugu zetu wanaouza madawa wamepanga kuwa matajiri kupitia afya zetu na wapendwa wetu tunao wauguza.
Dah!!Mimi ilinikuta hospital kabisa dogo amepimwa amekutwa na PID nikaandikiwa dawa bei 93k sema siku na cash nkawaambia waniwekee kabisa dawa naenda ku draw ATM maana sinaga sim banking.
Nikawa nataka kutoka na cheti doctor akakomaa hichi huwez chukua unakiacha hapa hapa kuona vile chap nkakipiga picha fasta nkatoka na dogo mpaka ATM.
Sasa wakati narud nkasema heb ngoja nkaulizie hizi dawa pale amana kuna doctor mmoja wa muhas anaduka lake pale.
Kilichotokea kilibadilisha maamuzi yangu yote kwani mpaka leo napima hospital dawa na majibu naenda somewa pale na dawa pale.
Nmefika pale dawa zile zile dozi kamili nmepata kwa 22k tu.dah nili mind kinoma toka siku hyo manesi niliwawekaga kundi la pili la watu wasio na huruma
Kufika kule (huko kwenye hilo duka kubwa maarufu)Habari za wakati huu ndugu zanguni.
Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake.
Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa muda mrefu anayelazimika kutumia dawa fulani kwa kila wiki.
Hali hiyo ilipelekea kuwa na bajeti ya kiasi cha Elfu 20 kila wiki ili kukidhi mahitaji ya mgonjwa wangu kimatibabu kwa maelekezo ya Daktari wake.
Nilikuwa navichukua kwenye pharmacy za mitaani wakinihakikishia kuwa dawa za namna hiyo ni adimu sana na hivyo ni ghali.
Walikuwa wananiuzia kila kidonge kiasi cha Elfu mbili.
Kuna siku ikatokezea pale wakawa hawana zile dawa, nikaona anamuita kijana wa boda boda ingawa walitaka kufanya siri lakini niliibahatika kunasa maongezi yao na kujua anapomuelekeza kwenda kuchukua.
Nikasikia jina la duka kubwa la pharmacy kubwa hapa Dar es salaam ambapo mimi mwenyewe nalijua lilipo.
Nikafanya maamuzi ya kwenda kununua huko nikamwambia basi siku nyingine nikamuona akawa mbishi kidogo lakini nikakomaa.
Kufika kule( huko kwenye hilo duka kubwa maarufu) nikakuta kule vile vidonge vinauzwa 6,000/= vyote kumi nilishtuka sana kutoka 20,000/= mpaka 6,000/= lakini ndio basi tena ikawa nimeshapigwa, yule binti mpaka leo ananionea haya.
NB: Nawasihi ndugu zanguni kama una uhitaji au matumizi ya dawa fulani wa muda mrefu jitahidi walau uzungukie maduka matano makubwa kujiridhisha maana hawa ndugu zetu wanaouza madawa wamepanga kuwa matajiri kupitia afya zetu na wapendwa wetu tunao wauguza.
Mi juzi nimeuliza mtaani Azuma paketi moja elfu sita,nikaenda duka moja kubwa azuma paketi tatu elfu tisa, sawa na elfu tatu kwa paketi,Habari za wakati huu ndugu zanguni.
Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake.
Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa muda mrefu anayelazimika kutumia dawa fulani kwa kila wiki.
Hali hiyo ilipelekea kuwa na bajeti ya kiasi cha Elfu 20 kila wiki ili kukidhi mahitaji ya mgonjwa wangu kimatibabu kwa maelekezo ya Daktari wake.
Nilikuwa navichukua kwenye pharmacy za mitaani wakinihakikishia kuwa dawa za namna hiyo ni adimu sana na hivyo ni ghali.
Walikuwa wananiuzia kila kidonge kiasi cha Elfu mbili.
Kuna siku ikatokezea pale wakawa hawana zile dawa, nikaona anamuita kijana wa boda boda ingawa walitaka kufanya siri lakini niliibahatika kunasa maongezi yao na kujua anapomuelekeza kwenda kuchukua.
Nikasikia jina la duka kubwa la pharmacy kubwa hapa Dar es salaam ambapo mimi mwenyewe nalijua lilipo.
Nikafanya maamuzi ya kwenda kununua huko nikamwambia basi siku nyingine nikamuona akawa mbishi kidogo lakini nikakomaa.
Kufika kule( huko kwenye hilo duka kubwa maarufu) nikakuta kule vile vidonge vinauzwa 6,000/= vyote kumi nilishtuka sana kutoka 20,000/= mpaka 6,000/= lakini ndio basi tena ikawa nimeshapigwa, yule binti mpaka leo ananionea haya.
NB: Nawasihi ndugu zanguni kama una uhitaji au matumizi ya dawa fulani wa muda mrefu jitahidi walau uzungukie maduka matano makubwa kujiridhisha maana hawa ndugu zetu wanaouza madawa wamepanga kuwa matajiri kupitia afya zetu na wapendwa wetu tunao wauguza.
Nilishalitaja lakini mwanzo nilisita kutaja kwa kuwa nilidhani nitafikiriwa kama natangaza biashara si unajua hii ni sehemu ya watu.......na matangazo ni moja ya biashara yao kama unavyoona......Kufika kule (huko kwenye hilo duka kubwa maarufu)
"duka kubwa maarufu" ndio jina la hilo duka au?, na kama sio, uoni kuwa na ww ni sehemu ya tatizo kwa kutotaja jina halisi la hilo duka kwa manufaa ya wanajukwaa hapa ili na wao walijue?
Nitakuchapa sana ,,Ctaki taifa langu liwe na wahuni wahuniBado bado sijakomaa ila soon nakuwa huko
Hamna alishachoma sana ni hali ilikuwa inajirudia rudia. Kabla ya ujio wa Sulbutamol.Mkuu usilaumu sana inawezekana angechoma hiyo sindano na angekata moto pia.
Inawezekana.mimi ni muda umepita nililipa hoyo 50,000Aga Khan kumuona daktar mbona nlikua nalipa 61 mwaka 2022? Au wameshusha Bei?
Dispensary nyingi sana wanafosi ununue dawa kwao kama hela haitoshi au wanahisi unataka kuchomoka cheti cha dawa hupewiDah!!
Pole sana ndugu........hawa wasiotaka mtu kuondoka na cheti ndio wezi namba moja......