Kwa nn uuze mkuu... Si utafute msimamizi kisha uendelee na musheni zako!!NAUZA CARWASH MPYA YA KISASA
MAELEZO: UJENZI, MACHINE ZOTE, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k
JUMLA: TZS 8,000,000
LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
CALL: 0717 26 33 77
Ni kwel Kaka lkn mtaji kwanza kakaaFundisha tuition achana na kuajiriwa
Usijoin hii ni takataka
Naitwa Ritha Anderson Massawe
Nmemaliza chuo mwaka 2020
Katika chuo cha usimamizi wa fedha
Natafuta kazi Nina degree ya finance and Banking ,second upper class of 3.9
Ninauzoefu wa mda mfupi ndani ya benki
Ya CRDB na pia nmepitia kazi ya majalibio at
CGS collateral control company Ltd
Niko tayar kufanya kazi kwa uweledi
Na ufanisi mkubwa
Namba —— 0719257400
Email —— rita11massawe@gmail.com
View attachment 1985307