Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 1,154
- 3,417
Mbeya hatukuwahi kuomba liwe jiji mbona mji wetu wa mbeya ulikuwa bora chini ya kina mpesya.
Sugu na mzee Mwakisisile kuliko hii takataka mnayoita jiji chini ya wavamizi wahuni wasiojulikana kina Tulia na wenzake.
Mnafunga na kupoteza watu halafu mnaleta visanii vyenu vinavyoliwa na kina pdidi utegemee watafurahi.
Yule kijana mpaka Leo haijulikani mmempeleka wapi