Angalizo: Watu wa Mbeya mnaoishi Mbeya Mjitathimini mienendo yenu kinidhamu inalichafua Jiji, ipo siku jiji litafutwa

Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua Jiji la Mbeya;

1. Wizi wa solar za taa za barabarani, haya Mambo yanafanywa na wenyeji na hutaona tabia hizi hata kwenye halmashauri tu.

2. Kuwashambulia wageni hasa wale wanakuja kwaajir ya kufanya matamasha. Tumeona juzi hapa msanii akirushiwa makopo ya maji bila sababu, hii inachafua taswira Jiji la Mbeya, badae wasanii watakuwa hawaji

Yapo mengi sana yakuorodhesha hapa lakini kwa leo naomba niishie hapo ili nipate muda wa kuyajadiri haya.

NB: Hizo tabia zikiendelea ipo siku jiji la Mbeya litafutwa na kuwa halmashauri ya Mji mdogo, tunawaomba viongozi wetu endeleni kutoa adhabu Kali kwa wote wanaolichafua jiji, pia hizo taa za barabarani wekeni Doria kuzilinda.
Point yako ni ya WCB Wala sio wizi.
Na hivyo ndo vigezo vya kushusha hadhi ya jiji?
Au unaleta mihemko mkuu?
 
. Wange mvunja vunja miguu kabsa ili iwe fundisho kwa wasani wengine wapumbavu kama huyu mdoli...

. Ifikie hatua wasanii wabongo wajue utofaut wa matumizi ya uchawa na mazingira yake ,,,, sipendagi huo upuuzi wa kuingiza siasa kwenye jukwaa la burudani
Acha bangi
 
Tangu nifanyiwe ubaguzi wa kidini huo mkoa sina habari nao , siwezi kuwachukia maana wengine ni marafiki zangu ...Nimeona baadhi ya rafiki zangu wanaunga mkono huo upuuzi.
Pole sana mkuu, ila hukupaswa kukaa kimya...
Hizo tabia za kinyani lazima tushirikiane kuitokomeza...

Ubaguzi wa kidini, ukabila ni unyani na ukifanyiwa na mtu usiwe mnyonge hata kama anafikiri yuko kwao...
 
Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua Jiji la Mbeya;

1. Wizi wa solar za taa za barabarani, haya Mambo yanafanywa na wenyeji na hutaona tabia hizi hata kwenye halmashauri tu.

2. Kuwashambulia wageni hasa wale wanakuja kwaajir ya kufanya matamasha. Tumeona juzi hapa msanii akirushiwa makopo ya maji bila sababu, hii inachafua taswira Jiji la Mbeya, badae wasanii watakuwa hawaji

Yapo mengi sana yakuorodhesha hapa lakini kwa leo naomba niishie hapo ili nipate muda wa kuyajadiri haya.

NB: Hizo tabia zikiendelea ipo siku jiji la Mbeya litafutwa na kuwa halmashauri ya Mji mdogo, tunawaomba viongozi wetu endeleni kutoa adhabu Kali kwa wote wanaolichafua jiji, pia hizo taa za barabarani wekeni Doria kuzilinda.
Umeleta uzi mrefu, lakini kilichofanya ulete huu uzi ni hiyo namba 2. Hiyo Mbeya hata mkiifuta kuwa jiji na kuwa mji mdogo, itakuwa na madhara kwa viongozi ila sio kwa wananchi wa kawaida. Mnaweza kufuta jiji hata leo.
 
Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua Jiji la Mbeya;

1. Wizi wa solar za taa za barabarani, haya Mambo yanafanywa na wenyeji na hutaona tabia hizi hata kwenye halmashauri tu.

2. Kuwashambulia wageni hasa wale wanakuja kwaajir ya kufanya matamasha. Tumeona juzi hapa msanii akirushiwa makopo ya maji bila sababu, hii inachafua taswira Jiji la Mbeya, badae wasanii watakuwa hawaji

Yapo mengi sana yakuorodhesha hapa lakini kwa leo naomba niishie hapo ili nipate muda wa kuyajadiri haya.

NB: Hizo tabia zikiendelea ipo siku jiji la Mbeya litafutwa na kuwa halmashauri ya Mji mdogo, tunawaomba viongozi wetu endeleni kutoa adhabu Kali kwa wote wanaolichafua jiji, pia hizo taa za barabarani wekeni Doria kuzilinda.
Wewe ni mpumbavu huyo Zuchu kuwaonyeshea Dole la kati wanaume naona ni sawa huna akili kabisa
 
Kwani Mbeya kuwa jiji kumeinufaisha nini cha ziada na kabla ya kuwa jiji?

Kuwa jiji ni kuongeza gharama zisizo na ulazima tu kwa mlipa kodi maana siasa ni nyingi kuliko uhalisia wa maendeleo.

Tanga ni jiji lakini kwenye ukusanyaji wa mapato inapitwa hata na Halmashauri za mji tu sasa faida ya jiji ni nini?

Dar hata leo uiondolee hadhi ya jiji hakuna kitachobadilika sana sana itaathiri ulaji na upigaji wa wanasiasa tu.
 
Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua Jiji la Mbeya;

1. Wizi wa solar za taa za barabarani, haya Mambo yanafanywa na wenyeji na hutaona tabia hizi hata kwenye halmashauri tu.

2. Kuwashambulia wageni hasa wale wanakuja kwaajir ya kufanya matamasha. Tumeona juzi hapa msanii akirushiwa makopo ya maji bila sababu, hii inachafua taswira Jiji la Mbeya, badae wasanii watakuwa hawaji

Yapo mengi sana yakuorodhesha hapa lakini kwa leo naomba niishie hapo ili nipate muda wa kuyajadiri haya.

NB: Hizo tabia zikiendelea ipo siku jiji la Mbeya litafutwa na kuwa halmashauri ya Mji mdogo, tunawaomba viongozi wetu endeleni kutoa adhabu Kali kwa wote wanaolichafua jiji, pia hizo taa za barabarani wekeni Doria kuzilinda.

Wewe ndio utalifuta hilo jiji na kuwahamisha wakazi wa Mbeya? Umejipa kazi ngumu sana😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom