Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Unataka afuate udikteta wa meko?Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Ina maana sahv kakutana na ngoma ngumu siyo!Kuna watu wengine nimegundua hawajui historian za watu,Kakoko na Magufuli ni marafiki na MTU pekee hapa Tanzania alikuwa na uwezo wa kumgomea Magufuli ni Kakoko.
Ww ni li nyumbu ambalo linadaka habari na kumeza bila kutafakari....Hao ndio wezi wa JPM. Alikuwa ana watoa ujenzi. Bado Mfugale na Chamuliro
Subirini dawa iwaingie. Hamuwezi Jenga Vitu bila kupitia taratibu na Bungeni. Afu uchukuzi unapeleka Ikulu...ndege bei hatujui. Tutaelewana tu namapambio yenu ya Kijinga na kishambaWw ni li nyumbu ambalo linadaka habari na kumeza bila kutafakari....
We unamatatizo ...ile ripiti isingesomwa vile tulivyosikia
Ila kuna haja ya TAMISEMI kufanyiwa mabadiliko hasa kwenye muundo wake.Usimtazame Mama Samia katika mtazamo wa Magufuli.
Ana utashi wake na ana namna yake ya kushughulika na mambo.
Kwa mfano kama ATCL imetengeneza hasara kwa miaka 5 iliyopita.
Nani alikuwa Rais katika miaka hiyo?
Tafuta ripoti ya mwaka jana na juzi na angalia kama ATCL iliandikwa kuwa imetengeneza hasara?
Unakumbuka bosi wa ATCL alitoka na na kutamba kwamba shirika limetengeneza faida mwezi wa 9 mwaka jana?
Unakumbuka jinsi Kakonko alivyokuwa anatoka nakutwambia kuwa bandari inatengeneza faida kubwa na kwamba hakuna mianya ya Rushwa wala ubadhilifu?
Unakumbuka jinsi Jaffo huwa anasema kwa takwimu idadi ya vituo vya afya na shule na zahanati zilizojengwa tena akisifu kwa ujasiri kuwa kuna udhibiti mkubwa wa mapato na matumizi.
Kiufupi ni kuwa, Tanzania ni ile ile, watu watabadili nafasi ila mambo ni yale yale.
Amani na utulivu kwa Taifa letu.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono kauli yako ya kwamba ,ripoti ingekuwa ya kusifia tu,hakuna hasara yoyote ya shirika pendwa la ndege na zaidi sana tungeoneshwa makusanyo na mwenendo mzuri was serikali yake.We unamatatizo ...ile ripiti isingesomwa vile tulivyosikia
jifunze kutofautisha kati ya maamuzi ya kukurupuka vs maamuzi ya mkakati.Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Acha uongo, unajua taratibu za mtu kufukuzwa kazi Serikalini? Taja nani alishawahi kufukuzwa kwa njia hiyo?Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Report ingesomwa nyingine, ATCL inapata hasara kwa miaka 5 mfululizo, maana yake tangu magufuli aingie ikulu ilikuwa ni hasara tu, alichukua hatua gani?Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
SIdhani kama angemtumbua DG, Majaliwa alipokwenda Morogoro akamwambia RC kuwa mkoa wake una matumizi mabaya ya fedha za umma, Magufuli alimtumbua RC siku ya pili, lakini Majaliwa alikwenda Kigoma akabaini madudu akayasema, akarudi Dar akabaini madudu akayasema na akawasimamisha kazi baadhi ya watu, akamwambia DG awe firm kwakuwa watu wake wanafuja fedha ya umma, Magufulia alisikia na wala hakuchukua hatua.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.
Kuhusu ndege kuingiza hasara kila mwaka, angefanyaje?Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Vipi kuhusu shirika la ndegeNawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Kiuhalisia wala tusingejua kama žile ndege zinatutia hasara kama taifaNawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Jafo asingekuwa kuwa na kibarua leo hii!!