Angekuwa ndio Magufuli kapokea report ya CAG leo, naamini angefanya maamuzi haya ya kishujaa...

Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Magu huyu huyu aliekuwa anagombana na Assad kila siku acha utan bac
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Jamaa alikuwa anawabeba sana washkaji zake wezi hao
 
Kwani hiyo ATCL si ndo alituambia inaleta mafaida? Huyo jafo ni wa leo? Hayo madudu ya TPA yameanza jana?
Hio ripoti ilishakua tayari toka magufuli akiwepo kilichokua kimebaki ni kui submit tu kwa Rais ndio mzee akaanza kuumwa.sio kwamba ni vitu vya juzi baada ya magufuli kuondoka.
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Kuhusu ndege angejitumbua,?
 
Mmmhhhh yeye ndio alikuwa analea hayo MADUDU.
 
Utaratibu ni jambo la maana sana. Ukifanya maamuzi bila utaratibu una uwezekano mkubwa sana wa kuingia hasara.
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Muache mzee apumzike, ripoti isingekuja vile
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Magu amekufa.Acha Samia atumie akili yake,asiige ya aliyekufa
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Kwenye ripoti ya mwaka Jana Kakoko alilamba 22.5b mbona hakutumbuliwa. Mnadhani hatujui Kituo cha mafuta kilichokuwa kinajengwa Ngara mmiliki ni Nani?
 
JPM asingepokea ripoti hii, lazima ingebadilishwa kuonesha kuwa kuna faida na sio hasara!! Kama ripoti ingetoka na hasara, basi CAG angetimuliwa bila kujali Kinga ya kikatiba! Mungu ni fundi bwanaa
JPM alikuwa mwizi sana aliwatisha wenzake kwa ukali wake wa kijinga. R.I.P JPM sehemu unayopaswa kulala.
 
Uteuzi wanyewe wa CAG ulifanyika lakini akasindikizwa na vitisho[emoji23][emoji23] sasa unahisi angetaka amletee report yenye kuonyesha loss ya 60B katika mradi alioufanya kwa majigambo na mbwembwe.
IMG_20210328_212157.jpg
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Kwani yeye JPM alikuwa hakosei?
Nani alimwadhibu kikatili namna hiyo bila uchunguzi?
Lakini anyway ,enzi za ukatili zimepita.
Tunaenjoy sauti ya mama , sauti ta matumaini.
Go mama.
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
We ni kiazi
 
Back
Top Bottom