Angekuwepo hayati JPM asingeruhusu waziri wake aaende Bungeni na mkoba wa mil 14 hata kama ni mkwe wake

Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu.

Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14.

Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.

Acheni ushamba, mkoba unatatua shida za wananchi?. Angeweza kwenda bungeni akiwa na makaratasi kwenye kiroba cha plastiki, je shida za wagonjwa zote zingemalizika kisa mfuko wa mheshimiwa Waziri ni wa plastiki?.

Kwa taarifa yako Muhimbili inakwenda kufanyiwa ukarabati mkubwa na pesa za matumizi mengine zinaendelea kuwepo kama kawaida.
 
Nonsensical reply
 
Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu.

Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14.

Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
Kamfufue mungu wenu! Huyo ndio kaharibu hii Nchi! Mabaya yote unayoyaona ivi sasa,chanzo ni Jiwe,

Kuanzia democrasia, mahakamani na police, uhai na kutekwa, kuua vyama vya siasa kibakie chake tu......
 
Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu.

Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14.

Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
Gentleman,
umebebwa ufala kifikra na kukubali kupotoshwa, na ukapotoka, sasa unakuja kupotosha wadau wa JF kindezi hivyo gentleman.

hii ni maajabu wajemeni 🐒
 
Back
Top Bottom