Angekuwepo hayati JPM asingeruhusu waziri wake aaende Bungeni na mkoba wa mil 14 hata kama ni mkwe wake

Angekuwepo hayati JPM asingeruhusu waziri wake aaende Bungeni na mkoba wa mil 14 hata kama ni mkwe wake

Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu.

Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14.

Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
Nini mkoba wa Tsh 14 Millioni? Mbona Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alikuwa anatembelea Lexus la Tsh 500 Million wakati Magufuli akiwa Rais!! Uliona akimchukulia hatua yeyote Bashite?

Kosoa ubebaji begi la gharama kitu ambacho hata mimi naunga mkono, lakini kusema kuwa Magufuli alikuwa bora kwenye kudhibiti matumizi ya subordinates wake, NAKATAA
 
Watu walipiga Trillion Moja na kitu wakapita kushoto, CAG Assad Hadi kibarua kiliota nyasi...Hakuna serikali yenye afadhali, ni wapigaji na madalali Tu ndo wamejaa toka nchi ipate Uhuru.
 
Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu.

Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14.

Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
Ondoa UPUMBAVU hapa.
Magufuli ndiye mwanzilishi wa uozo wote tunaopambana nao sasa hivi kuanzia kukandamiza demokrasia, kuingilia Mhimili wa Mahakama, kumiliki WASIOJULIKANA kwa ajili ya kuteka na kuua, kuweka bunge butu lenye COVID-19, kuharibu chaguzi za 2019 na 2020.

Kama asingeanzisha haya Tanzania ilikuwa inaelekea kuzuri kwenye demokrasia iliyokamaa na utawala bora.

Let him continue to burn in hell
 
Acheni ushamba, mkoba unatatua shida za wananchi?. Angeweza kwenda bungeni akiwa na makaratasi kwenye kiroba cha plastiki, je shida za wagonjwa zote zingemalizika kisa mfuko wa mheshimiwa Waziri ni wa plastiki?.

Kwa taarifa yako Muhimbili inakwenda kufanyiwa ukarabati mkubwa na pesa za matumizi mengine zinaendelea kuwepo kama kawaida.
Eti Mheshimiwa waziri???? mtaendelea kuwaabudu akina Mwigulu na wengineo mnaowajua kwa sababu ni mawaziri. Ninyi mmebakia watwana, wanatumia ovyo pesa za watanzania, hasa watanganyika ninyi mnawatetea huku mnajifanya hamuoni zinakopelekwa pesa za kodi zetu. Sijui lini watanzania wataelimika?
 
Mil 14 ni madawati mangapi? Dont use your ass to think son of a gun
Tangu uhuru yameshanunuliwa madawati mangapi?.

Unajua mangapi yanayofanyika kwenye ujenzi wa mashule na mahospitali nchi nzima?.

Tumia akili pia epuka kumkumbuka sana hayati JPM mpaka unapitiliza.

Alipendwa na taifa zima lakini siku yake ya kuondoka ilifika akaondoka, tukalia kisha tukamuaga.
 
Eti Mheshimiwa waziri???? mtaendelea kuwaabudu akina Mwigulu na wengineo mnaowajua kwa sababu ni mawaziri. Ninyi mmebakia watwana, wanatumia ovyo pesa za watanzania, hasa watanganyika ninyi mnawatetea huku mnajifanya hamuoni zinakopelekwa pesa za kodi zetu. Sijui lini watanzania wataelimika?
Kiburi na ujeuri hata siku moja haiondoi ukweli kwamba maishani kuna vyeo na vinaheshimiwa.

Huo ujinga fanyeni humu humu JF mkiingia mitaani kuleta fujo mtachapwa mikwaju tu.
 
Ndio hapo sasa anawasahau the likes of makonda na sabaya kipindi Cha magufuli.
Kumuona JPM kama Saint wakati ndio mwazilishi wa huu ujinga huwa nashangaa sana
Magufuli alimfanyia fitina mbaya Mama Kizigha kwa kumchafulia jina akimuita fisadi ndani ya CCM wakati yeye alimtumia Lugumi kufanya biashara nyingi za chini ya kapeti.

Ile tenda ya kuwavalisha magereza ilikuwa yake pamoja na Lugumi na mchina mmoja, akaenda kule akaongea mbovu na kumnyang'anya biashara yule mama akachukua yeye kisha akamsagia kunguni majukwaani.

Yeye RIP anaonekana malaika machoni mwa watu yule Mama Kizigha anaonekana shetani!.

Natumaini saa ya mwisho kabla hajaaga dunia alipata muda wa kuitubu dhambi ile mbele ya Padre.
 
Aliruhusu matumizi mabaya ya fedha za umma ? Dunderhead be serious.
Aende akawaulize watoto wa mmiliki wa vyombo vya habari binafsi vya kwanza nchini Tanzania kuhusu namna Baba yao alivyoteswa mpaka akafa kwa presha ya mawazo.

JPM alimtoa kwa nguvu nyumbani kwake pale Msasani baharini, eneo lile akaja kumjengea Kikwete lile jumba lake, yule mzee akarudi kubanana na mtoto wake mitaa ya Triple 7 mbele ya ule mtaa wenye nyumba ya Marehemu Amatus Liyumba.

Ile ofisi ya yule mzee maeneo ya Gerezani akaipora kisha akampa Musiba aliyekuwa akirekodia zile video za dharau miaka ile ya awamu ya tano.

Yule mzee alikufa kwa presha akizongwa na mawazo mengi kichwani mwake, tulimzika makaburi ya kisutu mwaka juzi.

Natumaini hayati JPM alipata muda wa kuzitubu hizi dhambi mbele ya Padre.
 
Acheni ushamba, mkoba unatatua shida za wananchi?. Angeweza kwenda bungeni akiwa na makaratasi kwenye kiroba cha plastiki, je shida za wagonjwa zote zingemalizika kisa mfuko wa mheshimiwa Waziri ni wa plastiki?.

Kwa taarifa yako Muhimbili inakwenda kufanyiwa ukarabati mkubwa na pesa za matumizi mengine zinaendelea kuwepo kama kawaida.
Unajua hio 14M ni bima ya afya kwa watu wa ngapi?
Kama wewe ni mswahili basi wafahamu hii methali "Haba na haba hujaza kibaba"
 
Acheni ushamba, mkoba unatatua shida za wananchi?. Angeweza kwenda bungeni akiwa na makaratasi kwenye kiroba cha plastiki, je shida za wagonjwa zote zingemalizika kisa mfuko wa mheshimiwa Waziri ni wa plastiki?.

Kwa taarifa yako Muhimbili inakwenda kufanyiwa ukarabati mkubwa na pesa za matumizi mengine zinaendelea kuwepo kama kawaida.
Unatia hasira chawa mwenye huna ata rangi
 
Unajua hio 14M ni bima ya afya kwa watu wa ngapi?
Kama wewe ni mswahili basi wafahamu hii methali "Haba na haba hujaza kibaba".
Ukipenda sana kuweka kila kinachofanyika kwenye thamani ya pesa utaishia kufanana na yule mtu anayeogopa kunywa pombe kisa bei yake ni sawa na bei ya tofali moja!.

Mlevi akamuuliza wewe tangu uanze kuweka akiba ya pesa umeshajenga nyumba ngapi?, jamaa akakosa jibu.

Rahisisheni maisha sio kila kitu mkichukulie kwa hulka za malalamiko na machungu ya moyoni. Take it easy.
 
Kiburi na ujeuri hata siku moja haiondoi ukweli kwamba maishani kuna vyeo na vinaheshimiwa.

Huo ujinga fanyeni humu humu JF mkiingia mitaani kuleta fujo mtachapwa mikwaju tu.
Marais wenzake wanafikiria kuleta FDI katika nchi zao, yeye anamwambia Ruto awachape mikwaju, Ruto kamletea biashara ya refinery yeye anafikiria kuteka, kufira na kubaka, halafu auwe. Ameshaonja damu za watanganyika anaona aendelee kuua, hanipati miye.....Sikiliza ama zake ama zangu. Tunza hili andiko, utakuja kuniambia. Hicho kitambi chake kilichojaa mavi tutakirarua mshenzi sana huyo.
 
Afadhali umetukana hasira yako itakuwa imepungua.
 
Gentleman,
umebebwa ufala kifikra na kukubali kupotoshwa, na ukapotoka, sasa unakuja kupotosha wadau wa JF kindezi hivyo gentleman.

hii ni maajabu wajemeni 🐒
Hivi uchawa unawasaidiaga nini?hivi deep down you are heart unaona ni sawa haya mnayotetea?
 
Back
Top Bottom