Angekuwepo hayati JPM asingeruhusu waziri wake aaende Bungeni na mkoba wa mil 14 hata kama ni mkwe wake

Angekuwepo hayati JPM asingeruhusu waziri wake aaende Bungeni na mkoba wa mil 14 hata kama ni mkwe wake

Akili hauna wewe mwenye fikra za kimaskini. Unajua kiasi gani cha kodi kinakusanywa kila siku na serikali kuu?.

Kuwazia hiyo laki moja na nusu ndio umaskini wenyewe huo. Madawati ni suala la wizara ya elimu na yananunuliwa kila siku.

Kwa ujumla shule za kisasa zinajengwa kila mahali hapa Tanzania katika awamu ya sita.
Nimekupuuza
 
Begi la mheshimiwa waziri lina uhusiano gani na nchi kutegemea misaada?. Yaani waziri asinunue mkoba wa kisasa wa bei mbaya kisa nchi yake inaishi kwa misaada!, that is a stupid mindset being thrown around shamelessly,

Yaani mkoba wa bajeti ndio tunaujadili mpaka tumefika ukurasa wa nne wa uzi huu!!. Nongwa za kijinga kabisa.
Ishu ni mil kutumika kununua mkoba wa kubebea makaratasi. Wakati huo wananchi wanahitaji dawa, madawati n.k
 
Acheni ushamba, mkoba unatatua shida za wananchi?. Angeweza kwenda bungeni akiwa na makaratasi kwenye kiroba cha plastiki, je shida za wagonjwa zote zingemalizika kisa mfuko wa mheshimiwa Waziri ni wa plastiki?.

Kwa taarifa yako Muhimbili inakwenda kufanyiwa ukarabati mkubwa na pesa za matumizi mengine zinaendelea kuwepo kama kawaida.
Kama angefanya huo UKhislaf kwa nchi zilizoendelea angetakiwa ajiuzulu. Sijui Allah alitumia matirio gani kuumba hawa wanaojiita viongozi, huo ujenzi unaoutaja ni aina ya upigaji tu hamna lolote.
 
Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu.

Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14.

Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
Huo ni mkoba upi?

Mlinunua wote huo mkoba?
 
Kama angefanya huo UKhislaf kwa nchi zilizoendelea angetakiwa ajiuzulu. Sijui Allah alitumia matirio gani kuumba hawa wanaojiita viongozi, huo ujenzi unaoutaja ni aina ya upigaji tu hamna lolote.
Wewe kuamini au kutoamini haimaanishi kwamba hiyo ahadi haitimizwi. Serikali siku zote huwa sawa na jalala yenyewe hupokea matusi hata ukweli ukiwa anayetukana anahitaji kuelimishwa.
 
Kama huwezi kuona uhusiano kati ya hali ya maisha ya wananchi na hali ya maisha ya kiongozi basi wewe ni taahira na mpuuzi ambaye ni hasara kwenye jamii. Wananchi wanaishi maisha duni lakini kiongozi anaishi a lavish life style halafu huoni kama ni tatizo wewe ni mpumbavu na mpuuzi na hasara kwa wazazi wako na taifa kwa ujumla
Kusema wananchi wanaishi maisha dunia ni kilio cha kila mwaka kilichomo ndani ya akili zinazokariri maisha.

Kuishi lavish lifestyle haimaanishi kwamba bajeti za wizara hazifanyiwi kazi.

Kero ni huo uzalendo wenye kujaa unafiki mnaoufuga ndani ya vichwa vyenu.

Begi bei yake shilingi milioni 14, jiulize hizo zahanati zinazojengwa kila wilaya zina thamani sawa na hayo mabegi mangapi.
 
Ondoa UPUMBAVU hapa.
Magufuli ndiye mwanzilishi wa uozo wote tunaopambana nao sasa hivi kuanzia kukandamiza demokrasia, kuingilia Mhimili wa Mahakama, kumiliki WASIOJULIKANA kwa ajili ya kuteka na kuua, kuweka bunge butu lenye COVID-19, kuharibu chaguzi za 2019 na 2020.

Kama asingeanzisha haya Tanzania ilikuwa inaelekea kuzuri kwenye demokrasia iliyokamaa na utawala bora.

Let him continue to burn in hell
Hivi akili yako ipo sawa?
 
Begi linauzwa milioni 14 linapigiwa kelele na wanaharakati waliojaa nongwa vichwani mwao.

Huyo Waziri anakwenda kujenga zahanati za mabilioni ya shilingi, hizo milioni 14 zinaingia mara ngapi kwa zahanati zitakazojengwa?.

Sio kila hoja ipingwe kipuuzi tu.
yaani wewe jamaa nimekufuatilia toka mwanzo nimegundua una mavi kichwani
unavyorudia kila mara hii ya kwamba Huyo Waziri anakwenda kujenga zahanati za mabilioni ya shilingi
unavyosema hivyo hizo pesa anaenda kutoa za kwake? au ni kodi za wananchi wa Tanzania yeye anauwezo wa kujenga hizo Zahanati za mabilioni peke yake au inahitajika nguvu ya serikali, tumia akili japo kidogo, tunajua mnalipwa kufanya haya
 
Akili hauna wewe mwenye fikra za kimaskini. Unajua kiasi gani cha kodi kinakusanywa kila siku na serikali kuu?.

Kuwazia hiyo laki moja na nusu ndio umaskini wenyewe huo. Madawati ni suala la wizara ya elimu na yananunuliwa kila siku.

Kwa ujumla shule za kisasa zinajengwa kila mahali hapa Tanzania katika awamu ya sita.
kama hao unaowatetea wangekuwa na fikra za kitajiri hii nchi isingekuwa Masikini
hao viongozi ni waajiriwa wa wananchi
anatakiwa kuangalia na hali ya wananchi wako ikoje, Jimboni kwake kuna mahitaji kibao na umasikini mkubwa pia
 
MAma alishawaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao!

Yeah, amewaruhusu kwa vitendo.

Wanamuona na yeye ndio anavyo ulamba - flossed out all day. Luxury and oppulance.

Saa yake Samia BULGARI SERPENTI ni ya milioni 111. Milioni Mia Moja Kumi na Moja.

Monkey see Monkey do.

Wanamuona wnamuiga.
 
Attachments

  • saa.png
    saa.png
    404.7 KB · Views: 13
  • 20240221_232441.jpg
    20240221_232441.jpg
    61.5 KB · Views: 9
Kama angefanya huo UKhislaf kwa nchi zilizoendelea angetakiwa ajiuzulu. Sijui Allah alitumia matirio gani kuumba hawa wanaojiita
Sio kwamba uumbaji wa Allah una tatizo kwa hawa viongozi.

Exposure ndio tatizo.

Mchengerwa na mamilioni ya raia - wanaoona mkoba hauna tatizo - hawajui duniani kwengine huko nini kinaendelea. Utawala bora kwa wenzetu ni nini, hawajui.

Mchengerwa hajui Ulaya wanamundikaje kwenye magazeti waziri akivaa designer suti ya dola 1000. Tena hiyo nchi ina nuclear warheads. Ina maendeleo na utajiri wa kutisha. Na mshahara wa Waziri unatosha kuvaa kufuru.

Lakini hawataki kuona waziri kichwa maji ana vipaumbele kama vya watu wa Bongo Fleva. Hawatakiiiii!

Hizi mentality ndio zinafanya wanapata uongozi bora na maendeleo!!!!
 
kama hao unaowatetea wangekuwa na fikra za kitajiri hii nchi isingekuwa Masikini
hao viongozi ni waajiriwa wa wananchi
anatakiwa kuangalia na hali ya wananchi wako ikoje, Jimboni kwake kuna mahitaji kibao na umasikini mkubwa pia
Umaskini unaanza kuutatua wewe mwenyewe, haiwezi uwe na akili za kilofa halafu nchi iwe tajiri.

Begi moja kununuliwa haliwezi kuuendeleza umaskini, kufikiria namna hii unavyofikiria wewe ndio umaskini wenyewe huo.
 
Yeah, amewaruhusu kwa vitendo.

Wanamuona na yeye ndio anavyo ulamba - flossed out all day. Luxury and oppulance.

Saa yake Samia BULGARI SERPENTI ni ya milioni 111. Milioni Mia Moja Kumi na Moja.

Monkey see Monkey do.

Wanamuona wnamuiga.
Punguzeni akili za kijamaa hazina msaada katika dunia ya kibepari. Yaani kwa sababu huko shamba ndugu zetu wanapungukiwa maishani basi hata mawaziri wasipendeze hata kidogo!.

Hizi mindsets zilikuwepo miaka ya Nyerere ile ya 1980 kurudi nyuma , ni aibu kuziendekeza mpaka leo hii.
 
Back
Top Bottom