Da, wewe zuzu umezaliwa na hawa hawa mama zetu wanadamu? Yaani huoni correlation kati ya matumizi mabaya ya fedha za umma na matatizo ya wananchi? Nchi inayoishi kwa misaada na mbayo wanaotupa misaada mawazi wao hawana uwezo wa kumiliki mikoba kama hiyo? Sounds like you are naked diot, at the summit of mt Everest!Acheni ushamba, mkoba unatatua shida za wananchi?. Angeweza kwenda bungeni akiwa na makaratasi kwenye kiroba cha plastiki, je shida za wagonjwa zote zingemalizika kisa mfuko wa mheshimiwa Waziri ni wa plastiki?.
Kwa taarifa yako Muhimbili inakwenda kufanyiwa ukarabati mkubwa na pesa za matumizi mengine zinaendelea kuwepo kama kawaida.
Unaonaje ungesema''kama Magufuli angekuwa ameweka mfumo mzuri wa kuchagua na kudhibiti viongozi wetu, huyu waziri asingeenda bungeni na mkopa wa mil 14'' Nasema hivi kwa sababu kiongozi mzuri ni yule anayeweka mfumo mzuri na kuwapa wananchi nguvu za madaraka na siyo yule anayejifanya ni kiranja wa kila kitu.Sio kweli
Begi la waziri linauzwa milioni 20 so what?. Mnajua huyo waziri anakwenda kujenga hospitali ngapi nchi nzima kwa kutumia pesa ya bajeti aliyotengewa na bunge hili?.Da, wewe zuzu umezaliwa na hawa hawa mama zetu wanadamu? Yaani huoni correlation kati ya matumizi mabaya ya fedha za umma na matatizo ya wananchi? Nchi inayoishi kwa misaada na mbayo wanaotupa misaada mawazi wao hawana uwezo wa kumiliki mikoba kama hiyo? Sounds like you are naked diot, at the summit of mt Everest!
?Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu.
Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14.
Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
Hei, you are too idiot to argue.... unajiaibisha. Watu kama wewe huwa nawaweka kwenye ignore list ili nisi-interact nao tena kwa sababu hawajui wafanyacho. Ngoja nikuweke.Begi la waziri linauzwa milioni 20 so what?. Mnajua huyo waziri anakwenda kujenga hospitali ngapi nchi nzima kwa kutumia pesa ya bajeti aliyotengewa na bunge hili?.
Unaweza kuilinganisha na hizo pesa za kununulia hilo begi la kisasa?, mlitaka aingie ukumbini akiwa na begi la mtumba la kununua pale Karume?.
Akili za kimaskini taabu sana, mnatazama kile kidogo mnachokiona bila ya kutazama mengi ambayo yanafanyika mbali na macho yenu!.
Mama hamkatii tamaa mwanae🥲🥲....na moyoni mwako ukumbuke mstari huuI'm very sorry mom 🤭
thank you,Mama hamkatii tamaa mwanae🥲🥲....na moyoni mwako ukumbuke mstari huu
Mithali 1:10-16.
Mama anakupenda
Dogo unajifunza kiingereza kwa shida sanaThis Logical fallacy
Mheshimiwa waziri tuseme tu kweli hicho ulichofanya sio kweli,huwezi kubeba mkoba wa m14 wakati nchi tunapitia changamoto lukuki,anza tu kwa kuwakumbuka watu wa jimboni kwako so acha kushambulia watuBegi la waziri linauzwa milioni 20 so what?. Mnajua huyo waziri anakwenda kujenga hospitali ngapi nchi nzima kwa kutumia pesa ya bajeti aliyotengewa na bunge hili?.
Unaweza kuilinganisha na hizo pesa za kununulia hilo begi la kisasa?, mlitaka aingie ukumbini akiwa na begi la mtumba la kununua pale Karume?.
Akili za kimaskini taabu sana, mnatazama kile kidogo mnachokiona bila ya kutazama mengi ambayo yanafanyika mbali na macho yenu!.
Begi linauzwa milioni 14 linapigiwa kelele na wanaharakati waliojaa nongwa vichwani mwao.Hei, you are too idiot to argue.... unajiaibisha. Watu kama wewe huwa nawaweka kwenye ignore list ili nisi-interact nao tena kwa sababu hawajui wafanyacho. Ngoja nikuweke.
Huyu jamaa hana akiliBegi linauzwa milioni 14 linapigiwa kelele na wanaharakati waliojaa nongwa vichwani mwao.
Huyo Waziri anakwenda kujenga zahanati za mabilioni ya shilingi, hizo milioni 14 zinaingia mara ngapi kwa zahanati zitakazojengwa?.
Sio kila hoja ipingwe kipuuzi tu.
Nonsensical postDogo unajifunza kiingereza kwa shida sana
Angenunua begi la laki moja na nusu kuna tatizo? Hizo milioni 20 zikanunua madawati au madawa huoni kama kuna tatizo ? Huna akili na mpumbavu na mjinga hufai hata kuwa member wa jukwaa kama hili.Begi la waziri linauzwa milioni 20 so what?. Mnajua huyo waziri anakwenda kujenga hospitali ngapi nchi nzima kwa kutumia pesa ya bajeti aliyotengewa na bunge hili?.
Unaweza kuilinganisha na hizo pesa za kununulia hilo begi la kisasa?, mlitaka aingie ukumbini akiwa na begi la mtumba la kununua pale Karume?.
Akili za kimaskini taabu sana, mnatazama kile kidogo mnachokiona bila ya kutazama mengi ambayo yanafanyika mbali na macho yenu!.
Halafu wewe jamaa unatuharibia siku kutetea upumbavu. Kuna mdau amekuambia nchi bado inategemea misaada ya wahisani unapataje ujasiri wa kununua mkoba usio na tija yoyote kwa gharama kubwa kiasi hicho? Yaani hata huoni logic ya mleta mada? Hata kama mil 14 haiwezi kujenga hospital lakini mtumishi wa umma unapaswa kuakiss maisha ya wananchi wako. Anyway wewe ni wa kupuuzwaBegi la waziri linauzwa milioni 20 so what?. Mnajua huyo waziri anakwenda kujenga hospitali ngapi nchi nzima kwa kutumia pesa ya bajeti aliyotengewa na bunge hili?.
Unaweza kuilinganisha na hizo pesa za kununulia hilo begi la kisasa?, mlitaka aingie ukumbini akiwa na begi la mtumba la kununua pale Karume?.
Akili za kimaskini taabu sana, mnatazama kile kidogo mnachokiona bila ya kutazama mengi ambayo yanafanyika mbali na macho yenu!.
Akili hamna nyinyi mnaotazama begi badala ya kutazama picha pana ya kazi anayoifanya waziri katika ujenzi wa mahospitali nchi nzima.Huyu jamaa hana akili
Akili hauna wewe mwenye fikra za kimaskini. Unajua kiasi gani cha kodi kinakusanywa kila siku na serikali kuu?.Angenunua begi la laki moja na nusu kuna tatizo? Hizo milioni 20 zikanunua madawati au madawa huoni kama kuna tatizo ? Huna akili na mpumbavu na mjinga hufai hata kuwa member wa jukwaa kama hili.
Begi la mheshimiwa waziri lina uhusiano gani na nchi kutegemea misaada?. Yaani waziri asinunue mkoba wa kisasa wa bei mbaya kisa nchi yake inaishi kwa misaada!, that is a stupid mindset being thrown around shamelessly,Halafu wewe jamaa unatuharibia siku kutetea upumbavu. Kuna mdau amekuambia nchi bado inategemea misaada ya wahisani unapataje ujasiri wa kununua mkoba usio na tija yoyote kwa gharama kubwa kiasi hicho? Yaani hata huoni logic ya mleta mada? Hata kama mil 14 haiwezi kujenga hospital lakini mtumishi wa umma unapaswa kuakiss maisha ya wananchi wako. Anyway wewe ni wa kupuuzwa
Kama huwezi kuona uhusiano kati ya hali ya maisha ya wananchi na hali ya maisha ya kiongozi basi wewe ni taahira na mpuuzi ambaye ni hasara kwenye jamii. Wananchi wanaishi maisha duni lakini kiongozi anaishi a lavish life style halafu huoni kama ni tatizo wewe ni mpumbavu na mpuuzi na hasara kwa wazazi wako na taifa kwa ujumlaBegi la mheshimiwa waziri lina uhusiano gani na nchi kutegemea misaada?. Yaani waziri asinunue mkoba wa kisasa wa bei mbaya kisa nchi yake inaishi kwa misaada!, that is a stupid mindset being thrown around shamelessly,
Yaani mkoba wa bajeti ndio tunaujadili mpaka tumefika ukurasa wa nne wa uzi huu!!. Nongwa za kijinga kabisa.