Angekuwepo hayati JPM asingeruhusu waziri wake aaende Bungeni na mkoba wa mil 14 hata kama ni mkwe wake

Angekuwepo hayati JPM asingeruhusu waziri wake aaende Bungeni na mkoba wa mil 14 hata kama ni mkwe wake

Walimuua JPM ili watuibie na watanue, mama mkwe ndio kashika mpini! 😁
John kajiua mwenyewe na ushamba wake wa kisukuma! kiko wapi sasa! Wenzie wanapiga pesa kama kawaida,yeye alitaka kuwakomoa watoto wa mjini wakamuingiza chaka kuwa COVID-19 ni ugonjwa wa kisanii asivae barakoa Wala kujitenga karantini! Fasta kikamlamba na ushamba wake!

Taikon JK Kila sehemu alikuwa anaenda kavaa mask.
 
John kajiua mwenyewe na ushamba wake wa kisukuma! kiko wapi sasa! Wenzie wanapiga pesa kama kawaida,yeye alitaka kuwakomoa watoto wa mjini wakamuingiza chaka kuwa COVID-19 ni ugonjwa wa wa kisanii asivae barakoa Wala kujitenga karantini! Fasta kikamlamba na ushamba wake!

Taikon JK Kila sehemu alikuwa anaenda kavaa mask.
Dunderhead
 
Acheni ushamba, mkoba unatatua shida za wananchi?. Angeweza kwenda bungeni akiwa na makaratasi kwenye kiroba cha plastiki, je shida za wagonjwa zote zingemalizika kisa mfuko wa mheshimiwa Waziri ni wa plastiki?.

Kwa taarifa yako Muhimbili inakwenda kufanyiwa ukarabati mkubwa na pesa za matumizi mengine zinaendelea kuwepo kama kawaida.
Not persuasive argument
 
John kajiua mwenyewe na ushamba wake wa kisukuma! kiko wapi sasa! Wenzie wanapiga pesa kama kawaida,yeye alitaka kuwakomoa watoto wa mjini wakamuingiza chaka kuwa COVID-19 ni ugonjwa wa kisanii asivae barakoa Wala kujitenga karantini! Fasta kikamlamba na ushamba wake!

Taikon JK Kila sehemu alikuwa anaenda kavaa mask.

.
 
Anamuongelea hayati JPM utadhani alikuwa malaika wakati madhambi yake watu wanayafahamu.

Hawa ndio wamechangia kwenye zile vurugu za October 29 kwa chuki yao ya ukabila.
Ndio hapo sasa anawasahau the likes of makonda na sabaya kipindi Cha magufuli.
Kumuona JPM kama Saint wakati ndio mwazilishi wa huu ujinga huwa nashangaa sana
 
Ndio hapo sasa anawasahau the likes of makonda na sabaya kipindi Cha magufuli.
Kumuona JPM kama Saint wakati ndio mwazilishi wa huu ujinga huwa nashangaa sana
Aliruhusu matumizi mabaya ya fedha za umma ? Dunderhead be serious.
 
Haya mambo yote yalikua yanaelekea kupotea ila alieyaleta ni magufuli.

Magufuli ndio huwa nambebesha lawama zote za ujinga unaendelea nchi hii
 
Aliruhusu matumizi mabaya ya fedha za umma ? Dunderhead be serious.
Ndio aliruhusu matumizi ya hovyo sana
Chato airport,burigi NP, hospital ya Kanda kujengwa chato(hii ni white Elephant).
Tumelipa fidia kadhaa kwa makampuni mengi ya nje kwa kufuata sheria katika kusitisha mikataba

NB: f******ck offf
 
Ass......hole
 
Back
Top Bottom