Angekuwepo hayati JPM asingeruhusu waziri wake aaende Bungeni na mkoba wa mil 14 hata kama ni mkwe wake

yaani wewe jamaa nimekufuatilia toka mwanzo nimegundua una mavi kichwani
unavyorudia kila mara hii ya kwamba Huyo Waziri anakwenda kujenga zahanati za mabilioni ya shilingi
unavyosema hivyo hizo pesa anaenda kutoa za kwake? au ni kodi za wananchi wa Tanzania yeye anauwezo wa kujenga hizo Zahanati za mabilioni peke yake au inahitajika nguvu ya serikali, tumia akili japo kidogo, tunajua mnalipwa kufanya haya
Ni aibu kujadili mkoba wa waziri katika ulimwengu huu ambao vitu vimejaa madukani. Enzi zile za JKN ingeshangaza kumuona waziri kabeba mkoba wa bei ghali, hapakuwa na vitu wakati nchi ikiwa inakumbatia ujamaa.

Kuwa na mavi kichwani ni mapovu yako yanayokusumbua, huwa hampendi mtu awe na mawazo tofauti na yale yaliyomo vichwani mwenu.
 
Acheni ushamba, mkoba unatatua shida za wananchi?. Angeweza kwenda bungeni akiwa na makaratasi kwenye kiroba cha plastiki, je shida za wagonjwa zote zingemalizika kisa mfuko wa mheshimiwa Waziri ni wa plastiki?.

Kwa taarifa yako Muhimbili inakwenda kufanyiwa ukarabati mkubwa na pesa za matumizi mengine zinaendelea kuwepo kama kawaida.
Wee nae ni mkundux kabisa huoni athari za matumizi ya hovyo ya pesa za wizara? Pesa za wizara badala ya kutatua changamoto zinanunua mikoba ya thamani na anasa zingine, tumia kichwa usitumie ****** kufikiri
 
Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu.

Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14.

Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.

Bado mnataka kufufua wafu. Tuliwaambia mtengeneze mifumo nyie mkawa mnashabikia mtu sasa hayupo mnabaki kuota tu majinga jinga. Bila kuweka katiba bora mtabaki kufufua watu kila siku
 
Upo nje ya mada
 
Acheni ushamba, mkoba unatatua shida za wananchi?. Angeweza kwenda bungeni akiwa na makaratasi kwenye kiroba cha plastiki, je shida za wagonjwa zote zingemalizika kisa mfuko wa mheshimiwa Waziri ni wa plastiki?.

Kwa taarifa yako Muhimbili inakwenda kufanyiwa ukarabati mkubwa na pesa za matumizi mengine zinaendelea kuwepo kama kawaida.
Sio kwamba shida zitaisha ila akiwa na mkoba wa million 13 hawezi kosa kalamu ya million 3 kutembelea magari ya million 700+ n.k hapo sio pesa binafsi ni pesa za Umma zinatumika maisha ya anasa ndo hutengenezwa hivyo
Changamoto ni nyingi kwenye hio sekta yake huduma mbovu,dawa feki na chini ya kiwango na pia chache,mazingira magumu ya wafanyakazi na wagonjwa katika mazingira kama hayo je anawafundisha nini wa chini yake .....hawa viongozi bila kukemewa baadhi ya mambo tunazidi kuharibu
 
Acheni ushamba, mkoba unatatua shida za wananchi?. Angeweza kwenda bungeni akiwa na makaratasi kwenye kiroba cha plastiki, je shida za wagonjwa zote zingemalizika kisa mfuko wa mheshimiwa Waziri ni wa plastiki?.

Kwa taarifa yako Muhimbili inakwenda kufanyiwa ukarabati mkubwa na pesa za matumizi mengine zinaendelea kuwepo kama kawaida.
Hautatui shida za wananchi una uhakika??? Unajua watanzania majority wanaishi na £$2.15 per day??? Wangapi wanakosa hata milo mitatu kwa siku ?? Unajua hizo million 14 zingelisha familia ngapi??..misuse of government funds halafu kuna majinga kama wewe yanatetea kisa yananeemeka na mfumo!
 
Hakuna anayeneemeka na mfumo, hiyo milioni 14 ni pesa ndogo sana kulinganisha na zahanati zinazojengwa huko mikoani.

Hizi akili za vijana wa 2000 ujinga mtupu vichwani mwenu. Huwezi kufika popote ikiwa kila hela unaanza kuihesabia eti kwamba ingejenga kile na kile, maisha halisi hayapo hivyo.

Hizo ni akili za kulalamika na kunung'unika hovyo tu.
 
Sio kwamba shida zitaisha ila akiwa na mkoba wa million 13 hawezi kosa kalamu ya million 3 kutembelea magari ya million 700+ n.k hapo sio pesa binafsi ni pesa za Umma zinatumika maisha ya anasa ndo hutengenezwa hivyo
Changamoto ni nyingi kwenye hio sekta yake huduma mbovu,dawa feki na chini ya kiwango na pia chache,mazingira magumu ya wafanyakazi na wagonjwa katika mazingira kama hayo je anawafundisha nini wa chini yake .....hawa viongozi bila kukemewa baadhi ya mambo tunazidi kuharibu.
USA pale Los Angeles kuna watu wanalala kwenye nyumba za maboksi pembeni ya maduka.

Hapo hapo California kuna muigizaji anaitwa Tom Cruise anaishi kwenye nyumba ya dola milioni 50 wakati katika mitaa ya jiji hilo hilo kuna watu hawana pa kulala.

Maisha ya kibepari yapo hivyo, kila mtu anajitafutia kwa jasho akipata anakuwa na uhuru wa kutumia kadri anavyojisikia.
 
Acheni ushamba, mkoba unatatua shida za wananchi?. Angeweza kwenda bungeni akiwa na makaratasi kwenye kiroba cha plastiki, je shida za wagonjwa zote zingemalizika kisa mfuko wa mheshimiwa Waziri ni wa plastiki?.

Kwa taarifa yako Muhimbili inakwenda kufanyiwa ukarabati mkubwa na pesa za matumizi mengine zinaendelea kuwepo kama kawaida.
Nimebidi nicheke tu
 
USA pale Los Angeles kuna watu wanalala kwenye nyumba za maboksi pembeni ya maduka.

Hapo hapo California kuna muigizaji anaitwa Tom Cruise anaishi kwenye nyumba ya dola milioni 50 wakati katika mitaa ya jiji hilo hilo kuna watu hawana pa kulala.

Maisha ya kibepari yapo hivyo, kila mtu anajitafutia kwa jasho akipata anakuwa na uhuru wa kutumia kadri anavyojisikia.
Los Angeles sio bongo wewe kilaza
 
Hakuna anayeneemeka na mfumo, hiyo milioni 14 ni pesa ndogo sana kulinganisha na zahanati zinazojengwa huko mikoani.

Hizi akili za vijana wa 2000 ujinga mtupu vichwani mwenu. Huwezi kufika popote ikiwa kila hela unaanza kuihesabia eti kwamba ingejenga kile na kile, maisha halisi hayapo hivyo.

Hizo ni akili za kulalamika na kunung'unika hovyo tu.
Wewe zunguluka tu..

Maisha ya watanzania yako poor...

Every cent counts..

Mngekuwa na hii mindset tungefika mbali..

Ila nyie ni kufisadi tu

Of course kama umefisadi mamilioni utaona kutumia million 14 is nothing..

Again kwa nchi ambayo resources bado ziko scant kutumia million 14 kwenye bag ni matusi kwa watanzania and that's a fact!
 
Imeonyesha na kudhihirisha kuwa wanajijali wao kuliko sisi, wabinafsi, hawajuwi matatizo na shida zetu, wanaishi maisha bora kwa kutumia kodi za raia na walipa kodi, kupe na wanyonyaji kabisa hawa!
 
Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu.

Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14.

Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
JPM alikuwa, jambazi, fisadi, jizi kama mengine tu, mabalaa yote ya wasiojulikana yalipandwa na JPM, na, kusimamiwa, state sponsored assassination and terror, ilishika hatamu, kile kitendo cha jaribio la mauaji ya kiongozi wa upinzani, ili kuwa point of no return, uta wala wa, samia, wanatumia the same script!
 
Ilinipita hii ,mambo ya kushinda porini ni hatari.

Nani huyo alikuwa na mkoba wa milioni 14? Tunaweza kupata picha ya huo mkoba?
 
USA pale Los Angeles kuna watu wanalala kwenye nyumba za maboksi pembeni ya maduka.

Hapo hapo California kuna muigizaji anaitwa Tom Cruise anaishi kwenye nyumba ya dola milioni 50 wakati katika mitaa ya jiji hilo hilo kuna watu hawana pa kulala.

Maisha ya kibepari yapo hivyo, kila mtu anajitafutia kwa jasho akipata anakuwa na uhuru wa kutumia kadri anavyojisikia.
Wewe k huna akili, najua unalipwa kutetea huu upumbavu ila kwa kuwa tu umekubali kutetea huu upumbavu basi ni ushahidi tosha huna akili. Lavish living style ya mtumishi wa umma huwezi kumlinganisha na Tom Cruise ambaye sio mtumishi wa umma. Wewe ni msengerema kwa kushindwa kutofautisha mipaka ya hawa watu wawili in public eye
 
Back
Top Bottom