reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Kwelii kabisaNadhani hata wewe ungefanya hvo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwelii kabisaNadhani hata wewe ungefanya hvo
Ila Hawa wachungaji Hawa yaani wanajimaliza Mwenye sadaka mwenzao anawajengea wauminiYuko Instagram ana mbwembwe hatari tofauti na kile kimchepuko Cha kichagga cheupe watoto wao wanezaa mwezi mmoja wote
Sasa ulitaka akuchukue wewe jamani?[emoji23][emoji23]Hafu very selective anachukua visu huyoo balaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna Watu wapuuzi saanaKama yangekuwa na maajabu yasingesababisha vifo kule Moshi
Kwani akiliwa kuna tatizo ?...Never ever on earth huyu kamla shoga angu mmoja hivi...live afu eti Mimi aniombee am sorry
[emoji1][emoji1][emoji1]Endeleni kupigwa Pesa zenu zinatumiwa vzr sana TU na wadada WA mujini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unaweza thibitisha haya au unaropoka?Hata Yale mafuta wanayokanyaga ni ya kawaida na hata Huwa hayaombei Wala nini
Waoo baasii alikua mtu Wa Mungu Toka enzi hizooNimesoma naye A level alikuwa active Sana kwenye Mambo ya dini. Na alikuwa ameokoka. Nakumbuka walijiunda ka group ka wasichana (kipindi hicho bado wasichana) Kama wanne hivi walikuwa wanaimba haoo
Walijiita anointed singers!
Nakumbuka mchungaji alienifungisha ndoa alituasa sana kwenye ibada kuwa tuiache mizigo na vifurushi (kutoka nje ya ndoa) lakini baada ya muda alisimamishwa kazi kwa kugombana na mchungaji mwenzake kisa kstibu wa usharika kuhamishwa na mchungaji alikua anamla mpka kampa mimba.Hiz Habari za makanisa zinatisha sasa,
Sisi tunajiona ni wadhambi sana kumbe huko ni kuchafu zaidi.
Hawaambiliki. Ukipanda magari yanayotoka kawe siku ya jumapili utacheka. Kila mtu anachupa au carton ya maji ya Canadian. Wenyewe wanaamini kabisa wajinywa Yale maji changamoto zao zina ishaKuna Watu wapuuzi saana
Ila Imani ni kitu Cha ajabu mnoo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aahhh... apostle habari zake nazijua Kitambo Kuna wadada wa2 mmoja shosti angu Wa kuombea mambo meusi kamla ila anahonga balaa na Kuna mwingine sio shoga angu ni shoga Wa shoga angu kaliwa naweMambo ni mengi apostle kumbe anagawana sadaka na wadada wa town[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38]Hongera classmate
Sahihi VickyNdo wanavyowateka akili et Do not touch the Annointed. HAAHAAHH na wanawateka kweli kiakili. Omba Mungu akupe macho ya rohoni. Akupe Hekima uweze kutambua magugu na ngano.
Hapo Sasa yaani wafanye umalaya wasisemwe wao wenyewe Watu km wengine tu hapaAcha kutisha watu nao ni binadamu kama sisi na wanamaoungufu ya kibinadamu ndio maana hata umalaya wanaufanya.
Hahaha Dah 😂😂Ndoa yake ya awaliView attachment 2608993
Kilahiro alitisha aisee[emoji23]Du kakamata fursa. Hawa waimbaji nyimbo za Dini wengi ni wasanii tu. Hata yule Upendo kilahiro aliolewa tena, Flora Mbasha pia. Ndoa ya Christina Shusho imekufa, ya Martha mwaipaja pia imekufa.
[emoji28][emoji28]hyo ni kuwaxaganya kondoo waendelee kutoa sadaka zao wao wakatanue kuhonga huku wanaambiwa msimseme watumishiHapo Sasa yaani wafanye umalaya wasisemwe wao wenyewe Watu km wengine tu hapa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16]acha wakajimalize na sadaka zaoDisco limeshaingia mmasai... Naona wapendwa wameanza kujitokeza kwenye uzi kujibu mapigo .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahaha,Kama tunatubia Biblia moja,ndoa ni moja tu.