Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Yuko Instagram ana mbwembwe hatari tofauti na kile kimchepuko Cha kichagga cheupe watoto wao wanezaa mwezi mmoja wote
Ila Hawa wachungaji Hawa yaani wanajimaliza Mwenye sadaka mwenzao anawajengea waumini
Ukimsema utawaskia Wanamtetea eti na yeye ni binadamu majaribu kawaida tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hiz Habari za makanisa zinatisha sasa,
Sisi tunajiona ni wadhambi sana kumbe huko ni kuchafu zaidi.
Nakumbuka mchungaji alienifungisha ndoa alituasa sana kwenye ibada kuwa tuiache mizigo na vifurushi (kutoka nje ya ndoa) lakini baada ya muda alisimamishwa kazi kwa kugombana na mchungaji mwenzake kisa kstibu wa usharika kuhamishwa na mchungaji alikua anamla mpka kampa mimba.
Imagine mtu wa hivyo alafu anakusisitiza usizini acha dhambi kumbe yeye ndio namba moja.

Kwengine muinjilisti anawatoto watano lakini kazaa na katibu wa vijana wa usharika nq walivyo wangese ww ukifanya dhambi wanasema urudi kundini ila wao wakifanya hawarudi kundini mambo ya aibu sana
 
Mambo ni mengi apostle kumbe anagawana sadaka na wadada wa town[emoji23][emoji23][emoji23]
Aahhh... apostle habari zake nazijua Kitambo Kuna wadada wa2 mmoja shosti angu Wa kuombea mambo meusi kamla ila anahonga balaa na Kuna mwingine sio shoga angu ni shoga Wa shoga angu kaliwa nawe
Sasa huyo shoga Wa shoga akanogewa na hogo la kinyaki bwana naona hakuelewa mchezo akaanza kutaka kuganda kama 'rubaa'akampotezea bidada akawa mbishi akamuita sehemu akampiga biti takatifu
Kiranga komoo [emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndo wanavyowateka akili et Do not touch the Annointed. HAAHAAHH na wanawateka kweli kiakili. Omba Mungu akupe macho ya rohoni. Akupe Hekima uweze kutambua magugu na ngano.
Sahihi Vicky
Yaani eti hearsay ,kwani wao na sio Mwakasege au wengineo

Kuna vitu vinatia aibu jamani
Wanataka ushahidi upi Wa Picha daah huzuni sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Du kakamata fursa. Hawa waimbaji nyimbo za Dini wengi ni wasanii tu. Hata yule Upendo kilahiro aliolewa tena, Flora Mbasha pia. Ndoa ya Christina Shusho imekufa, ya Martha mwaipaja pia imekufa.
Kilahiro alitisha aisee[emoji23]
Alienda nje,mumewe anajua ameenda kumwimbia Bwana kumbe mwenzie anaolewa.

Maswali ninayojiuliza ni mengi,likiwemo hili;-
Ni dhehebu gani linaruhusu mtu kufunga ndoa mara 2?
 
Disco limeshaingia mmasai... Naona wapendwa wameanza kujitokeza kwenye uzi kujibu mapigo .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16]acha wakajimalize na sadaka zao
Wanatetea upuuzi kabisaaaa
Yaani hii nchi Ina vitukoo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom