Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Mtu mpaka amekuwa kiongozi wa Kitaifa maana yake ni kwamba ana watu special wa kumsaidia majukumu.Wewe hujui ni nini maana ya uongozi. Na watanzania kama wewe wako wengi kweli kweli. Ukiwa kiongozi wa umma, unawajibika kwa umma na ni haki yao kujua afaya yako. Kama hutaki basi fanya shughuli zako na achana na uongozi. BTW Mungu kuwa mlinziwa vyote halina uhusiano wowote na hii hoja.
Kwa hiyo hakuna haja ya kulazimisha kujua kila kitu. Tuliaaa