BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
- Thread starter
- #221
Binti upo? Mbona hupatikani whasap?Afu ndo arudi huko uhabeshini, wee thubutuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binti upo? Mbona hupatikani whasap?Afu ndo arudi huko uhabeshini, wee thubutuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa .Usiongee kitu ambacho haujakuna nacho umasikini ni mbaya sana
Kwa mwanamke wa kiethiopia kikubwa si mamlaka juu ya mtoto bali Ni kufaidika na uzao wake kiuchumi. Yupo katika umaskini, hata kama anauza K si kwa mapenzi yake bali kupata mlo wa mchana wakati akiwa na matumaini kuwa siku za mbele atafaidika kiuchumi kutoka kwa mtoto aliyemtoa katika K yake.Ni mama yake mzazi lakini hana mamlaka naye.
Kumbe dhumuni la kuzaa ni kuwafanya watoto kuwa kitega uchumi loh. Kulea mtoto ni jukumu la wazazi, hayo mambo ya sijui kitega uchumi ni ya watu ambao hawajui majukumu yao kidini na kisheria. Hatukatai kuwa kuna umasikini lakini why ukimbie mtoto wako umuachie mama yako, mbona yeye pamoja na umasikini wake hakukutelekeza?Kwa mwanamke wa kiethiopia kikubwa si mamlaka juu ya mtoto bali Ni kufaidika na uzao wake kiuchumi. Yupo katika umaskini, hata kama anauza K si kwa mapenzi yake bali kupata mlo wa mchana wakati akiwa na matumaini kuwa siku za mbele atafaidika kiuchumi kutoka kwa mtoto aliyemtoa katika K yake.
Ki ubinadamu mtu ukiwa na shida unatafuta jinsi ya kutatua shida yako si mamlaka.
Kwa sasa lengo la mama yake ni Social Security na ataipata kwa huyo binti aliyeaasiliwa na Angela wakati ukifika. Mamlaka inaenda na ngawira bwashee. Kama unamtumai mtu akuokoe katika lindi la umaskini, huwezi kuwa na mamlaka naye bali ngawira yake.
Kwanini tunazaa? Tunazaa na kuhangaika na watoto ili siku za usoni watufae. We are investing wakati tunazaa. Ukiwa mtoto jua wewe ni kitega uchumi, narudia kitega uchumi cha wazazi wako (kipesa n.k.)
Ni kweli, wenzetu wana displine kwenye kuzaa. Hazai kama hawezi kulea mwanae ni bora asizae kabisa.Wanawake wa Africa kuzaa tuu aaaah ni prrooororoeoeooeorooeo sasa ifike kulea sasa.
Habari za wakati huu wa dau wa jukwaa hili.
Nilikua napitia katika mitandao ya kijamii, nikakutana na hii habari ya huyu mlimbwende Angelina Jolie.
Ya kwamba aliadopt watoto, mmoja wapo anatokea Ethiopia anaitwa Zahara, tangu kakiwa kachanga kabisa kama miezi mitano hivi.
So hiyo tu na watoto wengine pia kama watu hivi, kuna wa kiume mwenye asili ya Asia na Kuna mwingine mzungu.
Na amekua akiwatunza mpaka Sasa, kasheshe inakuja Kwa huyu Binti Toka Ethiopia, kwamba kashakua mzuri na mama yake anaanza kuleta longolongo kuhusu mwanawe, wakati Angelina Jolie alimchukua kama orphan yaani yatima.
Anyway sijui itaishia wapi.
Kwa anaefahamu au mwenye kujua zaidi tujadili japo kidogo,
1. Hivi sisi wabongo tunaweza fanya hiki alichofanya huyu Angelina Jolie? Jinsi tulivyo na miroho yetu ilivyo mibaya?
2. Sisi blacks mbona tunajidhalilisha sana, Kwa mfano huyu mama wa Zahara Binti wa Angelina Jolie,? Leo ndo anamuona mzuri? Zahara kanoga, kapendeza, na anafaa kabisa Kwa matumizi ya binadamu(Kwa sisi wanaume tu).
3 Binafsi nampongeza sana huyu Angelina Jolie Kwa alichokifanya kuadopt hao watoto, ningekua na uwezo Ile wa uumbaji basi huyu Pepo inamuhusu kabisa.
Maneno mazito sana haya.Kuzaa tu hakukufanyi kuwa mama, kuzaa na kulea ndio sahihi ndio maana kuna mama mlezi.
Soma literature ujue factors za kuzaa watoto wengi! Caldwell ndiye enzi hizo anaeleza njia za kupunguza population!Kumbe dhumuni la kuzaa ni kuwafanya watoto kuwa kitega uchumi loh. Kulea mtoto ni jukumu la wazazi, hayo mambo ya sijui kitega uchumi ni ya watu ambao hawajui majukumu yao kidini na kisheria. Hatukatai kuwa kuna umasikini lakini why ukimbie mtoto wako umuachie mama yako, mbona yeye pamoja na umasikini wake hakukutelekeza?
Mama mzazi na mama mlezi kwa pamoja wanakuza mtoto. 1+1=2Kuzaa tu hakukufanyi kuwa mama, kuzaa na kulea ndio sahihi ndio maana kuna mama mlezi.
watajuana wenyeweHabari za wakati huu wa dau wa jukwaa hili.
Nilikuwa napitia katika mitandao ya kijamii, nikakutana na hii habari ya huyu mlimbwende Angelina Jolie.
Ya kwamba aliadopt watoto, mmoja wapo anatokea Ethiopia anaitwa Zahara, tangu kakiwa kachanga kabisa kama miezi mitano hivi.
So hiyo tu na watoto wengine pia kama watu hivi, kuna wa kiume mwenye asili ya Asia na Kuna mwingine mzungu.
Na amekuwa akiwatunza mpaka Sasa, kasheshe inakuja Kwa huyu Binti Toka Ethiopia, kwamba kashakuwa mzuri na mama yake anaanza kuleta longolongo kuhusu mwanawe, wakati Angelina Jolie alimchukua kama orphan yaani yatima.
Anyway sijui itaishia wapi.
Kwa anaefahamu au mwenye kujua zaidi tujadili japo kidogo,
1. Hivi sisi wabongo tunaweza fanya hiki alichofanya huyu Angelina Jolie? Jinsi tulivyo na miroho yetu ilivyo mibaya?
2. Sisi blacks mbona tunajidhalilisha sana, Kwa mfano huyu mama wa Zahara Binti wa Angelina Jolie? Leo ndo anamuona mzuri? Zahara kanoga, kapendeza, na anafaa kabisa Kwa matumizi ya binadamu(Kwa sisi wanaume tu).
3 Binafsi nampongeza sana huyu Angelina Jolie Kwa alichokifanya kuadopt hao watoto, ningekuwa na uwezo Ile wa uumbaji basi huyu Pepo inamuhusu kabisa.
Kumbe wakati mwingine kuna jambo linatokea kwa maana zake, Manake ni kuwa bila huyo binti kutelekezwa leo hii asingekuwa hapo alipo.Mtoto kashajikulia Kinyamwezi huko halafu unamletea gozigozi, wakati alipokuhitaji hukuwepo.
Huyo mama kashaharibia yatima wa kweli hapo, watu wanaotaka ku adopt watasema hawa wa Ethiopia waongo, tusiende ku adopt huko.
wala hajamkana hayo ni mawazo yako tu, kumsaidia anaweza amsaidie tena sana tu, ila ile bond ya mother/daughter itakuwa kwa angelina uhai wake wote, nina mfano hai kabisa, mama mmoja alimtelekeza mtoto kwa baba yake akasepa zake tena walikuwa wanandoa, yule jamaa akaoa mwanamke mwingine, yule mwanamke alimlea yule mtoto kama mtoto wake wa kumzaa, yule mama alivo mwanamke na nusu alisema atazaa mtoto wake kpindi yule wa kufikia kashatimiza miaka mitano, na akafanya hvo kwel, kwa sasa ni huyo mtoto alishaolewa na anajiweza, yule mtelekezaji alijirudisha na mtoto akamsamehe na huwa anamsaidia ila akiwa na mama yake mlezi na akiwa na mama yake mzazi kuna tofauti kubwa sana.Hizo nazo ni mbinu za kulea. Kuliko angemuua. Mbona hii mbinu ni watu wengi wanafanya hivyo. Mfano India etc. Kuliko kubanana na mtoto ambaye hutakuwa na uhakika wa kumtunza, bora apelewe akalelewe huko. Hapo unaangalia uhai wa mtoto
Unaona! Damu nzito kuliko maji. Mtoto hawezi kuacha biological mother akaadhirika wakati ana uwezo. Kikubwa kufaidika kutokana na kuzaa.wala hajamkana hayo ni mawazo yako tu, kumsaidia anaweza amsaidie tena sana tu, ila ile bond ya mother/daughter itakuwa kwa angelina uhai wake wote, nina mfano hai kabisa, mama mmoja alimtelekeza mtoto kwa baba yake akasepa zake tena walikuwa wanandoa, yule jamaa akaoa mwanamke mwingine, yule mwanamke alimlea yule mtoto kama mtoto wake wa kumzaa, yule mama alivo mwanamke na nusu alisema atazaa mtoto wake kpindi yule wa kufikia kashatimiza miaka mitano, na akafanya hvo kwel, kwa sasa ni huyo mtoto alishaolewa na anajiweza, yule mtelekezaji alijirudisha na mtoto akamsamehe na huwa anamsaidia ila akiwa na mama yake mlezi na akiwa na mama yake mzazi kuna tofauti kubwa sana.
Ila hata mimi ningejitingisha kwamba ni biological mother,najua nitaambulia chochote🌷Na mama ametegeshea hadi amekua
Sasa hivi anaangalika ,ndo ananza kuleta ukanjanja.
Kwanini asijitokeze kumchukua akiwa bado mdogo..angejitokeza kusema mtoto ni wake.
Amesubiri amekua ndo aanza kuleta porojo.
Hapo sio damu nzito kuliko majii bali huo ni msaada tu ambao angeweza kumpa hata mtu miwngine ambae hausiani naye biologically.Unaona! Damu nzito kuliko maji. Mtoto hawezi kuacha biological mother akaadhirika wakati ana uwezo. Kikubwa kufaidika kutokana na kuzaa.
Mifano tunayo iliyotutokea wenyewe! Mtoto huwa hamtupi biological parents hasa hasa mama yake! Nina mfano mmoja ambao Sijui nikiutoa utanifanya nipoteze hadhi ya anonymity! Acha niutoe.Ila hata mimi ningejitingisha kwamba ni biological mother,najua nitaambulia chochote🌷
Hapo sio damu nzito kuliko majii bali huo ni msaada tu ambao angeweza kumpa hata mtu miwngine ambae hausiani naye biologically.
Hakuna athari yoyote ya kibaiolojia pale ambapo Mtoto humsaidia mzazi ambaye amefahamishwa ukubwani kwamba huyu ni mzazi wako.
kila binadamu anaweza kumsaidia mwingine sio kwa sababu ya bilogical efferct yoyote bali ni kwa sababu tu ya ubinadamu ambao mtu yuko nao.
Hivyo hapo hakuna ishu ya damu nzito kuliko maji bali ni ishu ya ubinadamu wa mtoto na huruma yake tu